Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
mwambie lee ga mho nimemiss saanagiant ndo natazama
aisee tafuta hiyo kitu hatajutiaIyo giant nayo ni nzuri??
Ahsante kwa kuwaongezea Prishaz niliwasahau ila nilipoziona picha zao nikakumbuka tamthilia ya HONG GIL DONG na CITY HUNTER.Hata Chae siraa(madam jami) nilimsahau kumweka kwenye listi.nitaifanyia tena edit.Asante sana kwa supporting actress list nawakubali karibia wooote, namuongeza Kim mi Sook na Choi ran. Naomba uweke picha zao pls
Hii kitu ni nzuri? Nilifikiria kuianza nikasitaDescendants of the sun,
Wow! That handsome man *SONG JOONG-KI*
Nzuri sana yani hlf ina love story kali,Hii kitu ni nzuri? Nilifikiria kuianza nikasita
Haya ndio mambo yangu mkuu...Nzuri sana yani hlf ina love story kali,
Mwanajeshi na daktari wanafall in love, ila majukumu yao yanawafanya washindwe kulinda penzi lao, maana wote wapo busy until they meet again na kujaribu tena..... Nisikumalizie uhondo, itafute na hutajuta.
leo asubuhi nimeanza kuiangalia nimependa chemistry yao kati ya song joong ki na song hye kyo.baada ya miezi kama sita ndio drama yangu ya kwanza leo nimeanza kuangalia ambayo ni ya mjiniDescendants of the sun,
Wow! That handsome man *SONG JOONG-KI*
Thx rafiki nitaianza ASAP ninayo nilianza episode ya kwanza nikaiacha...huyu jamaa mwanajeshi nilimkubali sana kny drama ya Innocent man "Kang Maroo". Asante kwa recommendationNzuri sana yani hlf ina love story kali,
Mwanajeshi na daktari wanafall in love, ila majukumu yao yanawafanya washindwe kulinda penzi lao, maana wote wapo busy until they meet again na kujaribu tena..... Nisikumalizie uhondo, itafute na hutajuta.
Hehehe nakutambua mamaa wa love story.Haya ndio mambo yangu mkuu...
Ngoja nitaitafuta [emoji4][emoji4][emoji4] asante.
Chemistry imebamba,leo asubuhi nimeanza kuiangalia nimependa chemistry yao kati ya song joong ki na song hye kyo.baada ya miezi kama sita ndio drama yangu ya kwanza leo nimeanza kuangalia ambayo ni ya mjini
Innocent man bado sijaiona pia waweza muangalia kwenye *Sungkyunkwan Scandal*Thx rafiki nitaianza ASAP ninayo nilianza episode ya kwanza nikaiacha...huyu jamaa mwanajeshi nilimkubali sana kny drama ya Innocent man "Kang Maroo". Asante kwa recommendation
Hebu niambie ya Il Guk Sung (Jumong) mpya...Innocent man bado sijaiona pia waweza muangalia kwenye *Sungkyunkwan Scandal*
Wooooow!JANG YOUNG SIL.
angalia JANG YOUNG SIL.
(song il kook na watoto wake mapacha daehan,minguk,manse ambao walitokezea kwenye episode ya 4 ya jang young sil)
baada ya kumaliza drama ya jang young sil, song appa anashiriki kwenye tamasha la music la "broadway 42 street yeye anacheza kama muhusika mkuu yaani "JULIAN MARSH"
View attachment 375368
We mkuu mimi nataka series zenye zenye maudhui kama za iris city hunter,bridal mask nk za namna hyo plse emu naomben majina yao kwanzaJumong iliwaweka wakorea sokon vyema
City hunter
Bad boy
Iris
Spy
Secret agent
Posaido
Arrows on the bowstrng
Injumae
Gu family
Duo
Scandal
Giant
Salar man
Fogitive plan B
etc
Hizo kitu hatari sanaA Man Called God- hii kitu ni mziki mwingine, utamuona Peter Pain anavyo wasumbua watu, ni kitu cha ukweli. Athena- hii ni muendelezo wa IRIS, hakika hii kitu mpaka sasa bado inabamba. Katika Korean drama nilizokwisha kuziona hizi mbili ni nzuri.
Hizo kitu hatari sanaA Man Called God- hii kitu ni mziki mwingine, utamuona Peter Pain anavyo wasumbua watu, ni kitu cha ukweli. Athena- hii ni muendelezo wa IRIS, hakika hii kitu mpaka sasa bado inabamba. Katika Korean drama nilizokwisha kuziona hizi mbili ni nzuri.
Baada ya kutoa drama A MAN CALLED GOD 2010, alitoa DETECTIVES IN TROUBLE 2011, alitoa tena movie yaitwa ENTANGLED 2014.Hebu niambie ya Il Guk Sung (Jumong) mpya...
Nampenda huyu mtu haifai kusema.
Nimeianza na nimeipenda sana just fell in love with song joong ki, super smart kazini, na romantic haswa. Nikimaliza nitatafuta hii uliyoniambia....halafu nimependa kikosi cha special force walivyo na umoja.Innocent man bado sijaiona pia waweza muangalia kwenye *Sungkyunkwan Scandal*