Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Njoo pm mtoto mzuriNaombeni mmoja anisaidie vocha ya buku mbili nimalizie Queen Seondeok [emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
MGC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm mtoto mzuriNaombeni mmoja anisaidie vocha ya buku mbili nimalizie Queen Seondeok [emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
u
Baado nipo sehemu ya kwanza.
Imeanza na Uvamizi hapo kwenye jumba la Kifalme na kuna mwana katekwa sasa watu wapo serious kulingana na hali iliyopo. Nadhani nikiendelea nitakupa notification.
Ia hata miye huwa nakoshwa na wale wahusika ambao ni wachekeshaji kiukweli ni wanogeshi katika Tamthilia yoyote. Mfano kwenye Yi San wind of the Palace
Kuna yule mchoraji( Artist Yi) alikuwa ananikosha sana pia nilimshuhudia kwenye Jewel in the Palace.
Huyo Jukbang Na Mwenzie Kwa Tabia Yao Ya Wizi Kuna Siku Kilinuka Mjengoni, Ulitembezwa Msako Wa Kuvua Nguo. Duh! Seon Deok Hatoisahau Ile Siku Kwa Jinsi Alivyoponea Chupuchupu Kama Vile Kupenya Kwenye Tundu La Sindano!
Ila Queen Seon Deok Alitokea Kumjali Sana Bidam Kiasi Cha Kumpendelea Kupita Kiasi Katika Utawala Wake Mpaka Akampa Madaraka Makubwa Sana Kiasi Cha Hata Kukosana Na Viongozi Wengine Wa Karibu Yake.
Bidam Chini Ya Kitengo Cha Internal Affairs Alikichafua Sana Ingawa Lengo La Kile Kitengo Lilikuwa Ni Kuwa-Control Wafuasi Wa Misil Waliosalia Wasijeleta Madhara Katika Ufalme Lakini Yeye Alikitumia Bila Uangalifu Kiasi Cha Wafuasi Haohao Kumuangusha Na Yeye Pia, Na Hapo Ndipo Ukawa Mwisho Wake.
Chumong amepotelea wapi! Miaka inaenda sioni drama zake tena, huyu ndio amefanya nipende drama za kikorea! Popote alipo nipo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] walikuwa matapeli tu wa mtaani ila intelijensia yao ilikuwa kaliNakumbuka jinsi walivyokuwa wanajifanya ma monk mbele Deok Man, wakampiga mchana kweupeeee!!, Ila walojuta walipoingia angaza Mishil.[emoji16]View attachment 1065531
Pale kwenye Dong yi walikuwepo wale Rafiki zake na Dong Yi kutoka Idara ya Muziki sasa walikuwa wananikosha pale watakapo-meet na mfalme na Dong yi, mfalme anawapiga pombe alafu jamaa wanaanza kutema shit, sasa yule mzee akijaribu kumzuia mwenzie asiongee pumba mbele ya Mfalme hapo ilikuwa inakuwa kasheshe, huku mfalme anaona raha.Dong Yi.
Jukbang ndiye alikuwa master plan then Godo anakwenda kutimiza huku akiwa mstari wa mbele na Jukbang alikuwa anamtanguliza mbele mwenzie kwa lengo la kujiwekea ngao.[emoji23][emoji23][emoji23] walikuwa matapeli tu wa mtaani ila intelijensia yao ilikuwa kali
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kwenye Dong yi walikuwepo wale Rafiki zake na Dong Yi kutoka Idara ya Muziki sasa walikuwa wananikosha pale watakapo-meet na mfalme na Dong yi, mfalme anawapiga pombe alafu jamaa wanaanza kutema shit, sasa yule mzee akijaribu kumzuia mwenzie asiongee pumba mbele ya Mfalme hapo ilikuwa inakuwa kasheshe, huku mfalme anaona raha.
😂😂 wote walikuwa hawa amnin kama ni yeye moja kwa moja wakajua ni mwendo wa kunyongwa tu, ila Dong Yi alipokuwa anatakiwa na Wachina katika kukimbia kwake akamuona Ofisa wa polisi kavaa kijeshi sasa hapo ndo niliamini bora kupigwa makofi kuliko kupigwa butwaa😂😂 She was surprised a lot. sasa mfalme mwenyewe hakufurahishwa na kujulikana kwake.Yule jamaa mrefu nae ni Comedian kimtindo, kama umewahi kuangalia City Hunter kule nako alifanya yake.
Hebu acha usinikumbushe, hakuna scene nilizokuwa nazipenda kwenye Dong Yi kama zile za Mfalme (Ji Jin Hee) na Dong Yi wakiwa kitaa na wale marafiki zake. Dong Yi alipoingia ktk palace kama concubine nilikuwa dissapointed, nilipenda zaidi walipokuwa wanakutana mitaani.
Unakumbuka siku ya kwanza kuonana Dong Yi hakujua kama yule ni mfalme? Akamkanyaga mgongoni akapanda ukuta hahaaaaa.
Na kule mitaani walipokuwa wanakunywa jamaa akamlisha mfalme ngozi ya nguruwe je?
Sasa siku walipomuona ktk palace kama mfalme ndio nilikufa kwa kucheka.
Dong Yi ni bonge la drama.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dooh! City Hunter siikumbuki zaidi ya stelingi pekee maana niliitazama 2011 kama sikosei.Yule jamaa mrefu nae ni Comedian kimtindo, kama umewahi kuangalia City Hunter kule nako alifanya yake.
Lee Moon Sik, Huyo Mzee Namkubali Sana Kwa Comedy Zake. Huyo Jamaa Ni Comedian In Real Sense! Alicheza Pia Katika Empress Ki. Kuna Kipindi Alijifanya Monk Kisha Akazamia Katika Ngome Ya Maadui Ili Kwenda Kuwalaghai. Kiongozi Wa Hiyo Ngome Alikuwa Mwanamke, Alijulikana Kama Batoru Ambaye Baadaye Alikuja Ku-Join Forces Na Mfalme Wa Goryeo (Wang Yoo).Nakumbuka jinsi walivyokuwa wanajifanya ma monk mbele Deok Man, wakampiga mchana kweupeeee!!, Ila walojuta walipoingia angaza Mishil.😁View attachment 1065531
Hahaha mzee mzinguaji huo na unaweza kumkuta kakaa mkao wa mtu wa Busara, na ukaamini kweli kuwa amejawa na hekma.Lee Moon Sik, Huyo Mzee Namkubali Sana Kwa Comedy Zake. Huyo Jamaa Ni Comedian In Real Sense! Alicheza Pia Katika Empress Ki. Kuna Kipindi Alijifanya Monk Kisha Akazamia Katika Ngome Ya Maadui Ili Kwenda Kuwalaghai. Kiongozi Wa Hiyo Ngome Alikuwa Mwanamke, Alijulikana Kama Batoru Ambaye Baadaye Alikuja Ku-Join Forces Na Mfalme Wa Goryeo (Wang Yoo).
Jukbang Pamoja Na Kim Yusin Walishagundua Toka Kitambo Kuwa Deokman Alikuwa Mwanamke Ila Waliuchuna Tu, Tena Kim Yusin Alijuaga Mapema Sana Licha Ya Hivyo Akawa Anampa Deokman Mazoezi Magumu Ndani Ya Kikundi Chao. Ila Ni Afadhali Hiyo Siri Haikuvuja Kwenda Makundi Mengine Ambayo Ni Mahasimu Wao, Ingekuwa Balaa!Hahaaaaa Jukbang sijui aliiba nini aiseeee ilikuwa balaa.
Na ile siku aliyombeba Deokman mgongoni kifua cha Deokman mgongoni mwa Jukbang kilimfanya Jukbang agundue Deokman ni mwanamke nilichekaaaaaaa, halafu akakausha kama hajajua vile.
Mkuu umenikumbusha machungu ya Bidam na Deokman, niliipenda couple yao sanaaaa. Bidam akazingua baada ya kulaghaiwa kuwa Deokman kamtumia watu wamuuwe ilhali wakati Deokman anamtuma ktk mission ile alimpa pete ambayo endapo angefanikiwa na kurudi walikuwa wafunge ndoa.
Nililia sana, sana.
Mwisho wa Bidam ni moja kati ya drama zilizouvunja moyo wangu baada ya Jumong [emoji24][emoji24].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Korean Secret Agent
Kikundi kipi unachozungumzia?! Wale kina Gil Taemi na Gil Sumi, au wale ma- monk or ndugu zake na Chuk sagwa.?!Hichi Kikundi Kipo Kwenye Drama Ya Six Flying Dragons Ambacho Kilikuwa Kikihusika Kwenye Mission Mbalimbali Za Mauaji Ya Watu Mashuhuri Na Kui-Control Serikali Behind The Scenes.
Hahahaaah hizi drama zenye huyo mzee hapo kulia huwa zinanikosha sana.Nakumbuka jinsi walivyokuwa wanajifanya ma monk mbele Deok Man, wakampiga mchana kweupeeee!!, Ila walojuta walipoingia angaza Mishil.😁View attachment 1065531