Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa sisi tuliopitwa tafadhali tuelezee japo kiduchu kuwa alikuwa anawadhalilisha vipi na mifano michache kama ipo.
Nimehangaika kufuatilia lakini naona habari ya kujiua kwake ndio imefunika tuhuma.


Sent from my iPhone using JamiiForums
vugu vugu la me too lilipita mpaka korea ambapo celebrities tofauti walitajwa kuhusika na matendo ya kinyanyasaji hususani kwa wanawake, baadhi ya walalamikaji madai yao yalikuwa sahihi lakini wapo wengine walitumia kampeni ya me too kwa dhumuni la kuchafua wengineo.

  • february 20 kuna msichana fulani kupitia social media aliweka taarifa yenye kumshutumu jo min ki kuhusika na vitendo vya kinyanyasaji, huyu mzee licha ya kuwa ni muigizaji pia alikuwa ni professor wa chuo kikuu cha Cheongju hivyo basi jamaa alikuwa anawanyanyasa wanafunzi wake wa kike, hivyo basi kashfa dhidi ya mzee jo min ki ndio zikaanza hapo ambapo takribani wasichana 11 walijitokeza hadharani kukiri kufanyiwa matendo ya kinyanyasaji na marehemu.
  • miongoni mwa waathrika wa matukio hayo walikuwemo waigizaji wa theater na mmoja kati ya hao ni Song Ha Neul ambaye pia alikiri kufanyiwa vitendo vichafu na marehemu. Ukipata muda jaribu kupitia hizo link upate kusoma ushuhuda uliokuwa ukitolewa na waathirika wa matendo.
jamaa alikuwa mkorofi sana chuoni kiasi ambacho wanafunzi wengi walishamfahamu matendo yake ya kihuni lakini nguvu ya kupeleka malalamiko yao sehemu husika hawakuwa nayo.

kwenye taarifa yake ya utetezi alisema ya kwamba ni kweli alikuwa anawashika wanafunzi lakini si kwa nia ya kuwanyanyasa (molestation) bali ni kwa dhumuni la eti kuwajaza morali na kuwaliwaza.
kibaya zaidi wapo waathirika wa matukio yake ambao aliwahi kuwatumia hadi picha zake za utupu pamoja na kuchat nao mazungumzo ya kihuni.

Jo Min Ki: Your boyfriend must love it.
Victim: No he doesn't. lol We're platonic. We don't even kiss.
Jo Min Ki: Then you should at least do something with your long tongue.�
Jo Min Ki: Right now... I'm imagining so much by myself..�I'm so aroused. Very dangerous.
Jo Min Ki: I want to see you. I'm so hard.
Victim: Hul..�what do you want me to do;;
Jo Min Ki: You can get wet too
Jo Min Ki: Are you touching yourself now?", "I'm already touching myself. Help me.
victim: No", "You are dangerous", "I'm going to bed now


  1. https://www.soompi.com/article/1137459wpp/breaking-jo-min-ki-reportedly-found-dead
  2. https://www.soompi.com/article/1132011wpp/jo-min-ki-finally-apologizes-sexual-harassment
  3. https://www.soompi.com/article/1127...red-from-university-alleged-sexual-harassment
  4. https://www.soompi.com/article/1128...ifies-sexual-harassment-jo-min-ki-steps-drama
  5. https://www.soompi.com/article/1132...ally-harassing-woman-explicit-messages-photos
  6. https://www.soompi.com/article/1132011wpp/jo-min-ki-finally-apologizes-sexual-harassment
  7. https://www.allkpop.com/article/201...hocking-messages-and-nude-photos-she-received
 

Hahaaaaa haki hizo chats nimechekaaaaaa. Kumbe Ahjusshi alikuwa noma hivyo?
Asante kwa maelezo, sasa nafsi yangu imepoa na kupitia hizo links maswali yangu yatakwisha.

Kuhusu reincarnation sijui, nakaribia kumaliza The Great Seer sijui nianze ya Bidam au Misty? Nafikiri nikiiangalia Misty nitapata kufahamu kuhusu hilo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Son Seung Won receives final court sentence of 18 month in prison for hit-and-run DUI with no license
  1. On April 11, the Seoul Central District Court in Seocho District gave Son Seung Won his sentence after arresting him for dangerous driving under the Additional Punishment Law on Specific Crimes and violating the Road Traffic Act by driving drunk and without a license.
  2. The judge Hong Ki Chan said, “The defendant has already been fined for two incidents of drunk driving. Despite not taking care of the accident after the DUI incident last August 3, he was indicted again for driving drunk without a license and fleeing after causing an accident on December 26.”
  3. the court's final ruling regarding Son Seung Won will be a sentence of one year and 6 months in prison. The star will be given a week's time to submit any appeals. However, in the case that he chooses not to appeal and serve his sentence, Son Seung Won will no longer be able to carry out his mandatory military service as an active duty soldier, according to South Korean law.
  4. Song Seung Won stated, “During the 70 days I was imprisoned, I deeply reflected on my actions. I will never make this mistake again. I’m sorry to the victims who were injured.” It was also revealed that he had been receiving treatment for his panic disorder for one year and taking medication while serving his sentence. This is the fourth time Son Seung Won has been caught driving under the influence.


aminas ahjumma where are you?
nikikumbuka vituko vyake na upole wake ndani ya season 1 ya waikiki drama nashindwa kuamini ya kwamba jamaa ni mzembe aliyepitiliza, hivi unafanyaje kosa moja mara nne?
ule uzi wa jela ulioanzishwa humu JF anapaswa aupitie ili apate elimu ya gerezani.
safari njema huko keko bwana wewe uliyepewa kipaji cha kuigiza na kuimba lakini ukajinyima kipaji cha kujirekebisha pindi unapokosea, mambo haya ya kuendesha gari huku umelewa njoo ufanye huku kwetu sudan ambako rais wetu anawambia watumishi wake wagonge bangi kisirisiri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani we bwana comments zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha kwenye emperor of the sea alikuwa na bonge la paraa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mlafi wa hela huyo utasikia anasema" Hii sehrmu nasikia hela zinanukia" hasa maneno haya aliyazungumza sana walipokuwa wanaanza kuijenga Chunghae base. na yule master Sui alikuwa na hekima na busara na nilimpenda mno.
Sasa huyo Master Sui aliyecheza kwenyw Emperor of the Sea, kacheza kwe Jodo Jeong(Sambong) as Vice Chancellor, kifupi anai- Control Nchi atakavyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa anakamata fursa aisee akiona fursa habanduki. Hivi alikuwa master Sui au Sul?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yushin ndio alikuwa anajua muda mrefu, Jukbang hyungnim aligundua baadae sana baada ya ule ukaguzi ndio kujua kuwa Yushin alikuwa anajua siku nyingi ila alikausha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wamechukua kwenye empress Ki tukianza na huyu Jukbang, Misaeng, Hajong(lilikuwa linadeka hili) na mwingine sijui nani yule nimemsahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wamechukua kwenye empress Ki tukianza na huyu Jukbang, Misaeng, Hajong(lilikuwa linadeka hili) na mwingine sijui nani yule nimemsahau

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana dear, drama tulizokuwa tunaziongelea ni za muda kidogo kabla ya Empress Ki.
Drama nilizoziongelea mimi ni The Great Jang Geum (2003/4) Yi San (2007) na Dong Yi (2010) while hiyo Empress Ki ni ya 2014.

Drama hizo 3 zote zimekuwa directed na Director mmoja ambaye namkubali sana yule mzee, kama ujuavyo director ndiye hupanga characters ndio maana wengi wamejirudiarudia ktk drama zote 3.

Pi Jukbang hayupo ktk drama zote 3 hapo, ziangalie ukipata muda, ni nzuri sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeangalia Doctor stranger recently, story nzuri kweli ila kilichonivutia zaidi ni namna ambavyo madaktari wanavyotumia wagonjwa kushindana. Haya mambo yapo in real life?
 
Ooh sawa, nitazitafuta niangalie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani Kama Nilikua Mmoja Wao!

Bogoshipseyo My Chingu.
 
Nipo Apa Ahjussi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…