Naam, lakini kifo chake kinatisha aisee. Jukbang na Godo hawa jamaa ni vituko sana. Jukbang kanifurahisha sana ile tamaa yake katika mali. Jukbang kabla hajaingia katika kambi alikuwa na vituko kila kukicha
Wewe ulikuwa namba moja tehSidhani Kama Nilikua Mmoja Wao!
Bogoshipseyo My Chingu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wana tamaa wajinga wale, umefika kule walikokaguliwa?Naam, lakini kifo chake kinatisha aisee. Jukbang na Godo hawa jamaa ni vituko sana. Jukbang kanifurahisha sana ile tamaa yake katika mali. Jukbang kabla hajaingia katika kambi alikuwa na vituko kila kukicha
MGC
Episode (9&10)Jamani jamani hii The Banker kiboko! Episode za jana (9&10) zimenitoa jasho. Hapa nazisubiri za leo zaidi ya mfanyakazi anavyosubiri mshahara, lol.
Bado aisee, ndio niko episode ya 10. Huyo Jukbang ni kichaa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wana tamaa wajinga wale, umefika kule walikokaguliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
@Damushin mbona naona kama President Kang Sam Do sio mtu mbaya? Naona kama ni mzalendo anayeipenda bank yao ndio maana amekuwa mnoko wa kufuatilia kila jambo. Ila sijaelewa pale alipompunguzia majukumu vice president kimafia na kumuweka yule mama lengo lake lilikuwa nini? Au ndio kama vile ulisema anamtafutia sababu ya kumfukuza? Maana kwa sekeseke lile alilolianzisha Director Noh naona kabisa kazi hana.
sijamshinda bosi wako kipenzi kwa maneno yake yaliojaa utani na busara kuliko yesu wa india kwa jamaa zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani we bwana comments zako
Sent using Jamii Forums mobile app
jukbang ====>> / dongsaeng / hoobae / oppa / ahjusii / hal-abeojiJukbang hyungnim
akikujibu damushin naomba unireply πββοΈπββοΈπββοΈ
Najua sunbae ila namfuatisha tu Deokman alivyoendelea kuwaita hyungnim mpaka baada ya kuwa mdadajukbang ====>> / dongsaeng / hoobae / oppa / ahjusii / hal-abeoji ahjummaaaaaa
ok kumbe umejifanya wewe ndiye deokman. πββοΈπββοΈπNajua sunbae ila namfuatisha tu Deokman alivyoendelea kuwaita hyungnim mpaka baada ya kuwa mdada
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah hivi huwaga unazinote mahali? Haki nimecheka hiyo namba 16 sijawahi kuisikiasijamshinda bosi wako kipenzi kwa maneno yake yaliojaa utani na busara kuliko yesu wa india kwa jamaa zake.
- marehemu alikuwa na wake wanne lakini ametajwa mmoja.
- Inakuwaje anapotea mtoto wa kwanza hadi wa 7, RPC bado upo? Mbona watoto wako hawapotei
- baadhi ya watendaji serikalini wamekuwa vichwa vigumu kama kamongo.
- Kuna watu wamevimbiwa amani kama wale wanaovimbiwa na chakula au pombe
- Kwanza OCD na RPC waliochoma walikamatwa? Kwamba bado wapo tu? Hamuwajui? Bahati yenu mlichoma nikiwa sio Rais - Si wamechoma hapa, tungeshika kijiji kizima. Wangepiga βPush Upsβ, wangelamba mchanga, kisha wangetajana tu
- Mpeni asilimia na ole wake asifanye kazi Haki ya Mungu atakoma mwenyewe, akishapata hizo fedha ndani ya siku tano afanye kazi usiku na mchana, msinisamehe waheshimiwa Maaskofu wanasema usilitaje bure jina la Mungu najua mmenisamehe, lakini kwa hawa wakandarasi ngoja nilitaje
- Mkandarasi wa uwanja wa ndege hatakuwa na sababu ya kuchelewesha kuanza kufanya kazi kwa nguvu zote na fanye kazi usiku na mchana, mkandarasi huyu wa hapa ambaye tangu mwaka jana anahangaika tu na kilometa 50, angepewa kilometa 200 naona angemaliza miaka 200
- Kweli mkuu wa mkoa wa Mtwara umeshindwa hata kumtuma OCD au RPC wako ukamtandika pingu kwa sababu ule ni uhujumu uchumi kwa maendeleo ya Wanamtwara akashughulikiwe kule, hilo nalo lilikushinda? Wewe DC una mamlaka ya kumweka mtu masaa 48 lokapu, wakati mwingine mnawaonea raia wa kawaida, ulishindwaje?
- Mafisadi wote nitalala nao mbele
- On behalf of my self and the people of Tanzania, our deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro!!
- Kwani tetemeko lilitetemesha na kuvuruga migomba mpaka mseme mnanjaa? Tetemeko likatetemeshe wafungwa wajenge gereza lao!
- Mwandishi: Nje na siasa, kitu gani kingine unapendelea? Unataka nikwambie nakupenda wewe?
- Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
- udom ina uwezo wa kubeba wanafunzi 40000+ na udsm 24000+ na bado tcu wanadahili wanafunzi 30000+ sasa hiv vi chuo vingine si bora vifutwe naomba wazir na tcu waliangalie hili sijuh mnaviita st nin.... na venyew vinataka wanafunzi wapate hela
- Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Na sisi hatujengi.
- Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake. Njaa haijaletwa na serikali''
- Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''
- Natamani malaika washuke kuzima mitandao ya kijamii''
Eeeh mwanamke wa shoka yule. Ila msema kweli mpenzi wa Mungu mimi mle ndani role model wangu Mishil [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ok kumbe umejifanya wewe ndiye deokman. [emoji2089][emoji2089][emoji7]
nukuu za nyerere + martin luther king + plato + dalai lama + mandela = magufuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah hivi huwaga unazinote mahali? Haki nimecheka hiyo namba 16 sijawahi kuisikia
Sent using Jamii Forums mobile app
me too ndio queen wa ile drama kiupande wangu haijalishi nilianza kuiangalia kuanzia ep 30.Eeeh mwanamke wa shoka yule. Ila msema kweli mpenzi wa Mungu mimi mle ndani role model wangu Mishil [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh!akikujibu damushin naomba unireply πββοΈπββοΈπββοΈ
Nionyeshe nukuu za nyerere hapo achana na hao kina Luther sijui nani[emoji23][emoji23]nukuu za nyerere + martin luther king + plato + dalai lama + mandela = magufuli
Kwa nini ulianzia njiani? Ila kiukweli kule nyuma walivyuta sana mudame too ndio queen wa ile drama kiupande wangu haijalishi nilianza kuiangalia kuanzia ep 30.
- kuna uwezekano president kang anawafahamu kiundani wafanyakazi wake wote hivyo basi anafahamu fika udhaifu wao, huenda mzee alikuwa anafahamu fika kama nikimweka nafasi ya director of HR mwanamama do jung kwa tamaa zake atayatumia vibaya madaraka yake, kiukweli mpaka sasa sijaifahamu sura halisi ya president kang Kang Sam-Do
- na ukiangalia ni kweli mwanamama kivyovyote alihongwa ili amwezeshe yule msichana apate ajira ndani ya daehan bank. hivyo basi ukiangalia mtiririko wa matukio utagudundua viongozi wote wenye nguvu aliyowaondoa madarakani amewaondoa kwa sababu za msingi. nimeona preview ya episode ya jana nafasi ya director amemteua Han Soo-Ji baada ya kugundulikana kashfa ya uchakachuaji wa zoezi la kuajiri wafanyakazi wapya
- wafanyakazi wengi wa daehan tokea arudi kazini bwana lee ha gon wamekuwa wakijipendeza kwake na si ajabu kukutana ofisini kwake kujadiliana maswala mbali mbali, president kang huenda amempunguzia madaraka ili jamaa asiwe na ngivu kubwa ndani ya taasisi ya daehan
president kang akajibu suala moja tu ambalo lilihusu utoaji huduma kwa wananchi ambapo alijibu wafanyakazi wetu wanatoa huduma nzuri sana kwa wananchi,
- director aliwauliza marais wa benki kuna uvumi unaosema ya kwamba taasisi nyingi za kibenki zimejikita zaidi kwenye ishu ya kujiongezea zaidi kipato chao kwa kupunguza baadhi ya matawi (internal restructing) huku huduma kwa wananchi zikiwa hafifiu, hili swali alimlenga president kang na benki yake ya daehan, kama nilivyo suggest coment ya mwanzo huenda assembly jung kwa kushirikiana na chief of judiciary ambaye mtoto wake ndiye yule kilaza walikuwa pamoja kwenye ishu ya kumweka kwenye corner president kang atoe ajira kupitia daehan institute.
- ndipo rais mmoja wa benki akajibu hapana muheshimiwa sio taasisi zote bali ipo benki moja ya biashara ndio imeamua kufunga zaidi ya matawi yake 100 jambo lililopelekea waliokuwa wafanyakazi kuwa jobless. ndipo director akamuuliza president kang je unazungumziaje madai hayo juu ya benki yako kuyafunga zaidi ya matawi 100
lakini director hakuwa na shida ya jibu hilo bali alitaka kufahamu kwa nini taasisi yake ya daehan imefunga zaidi ya matawi 100 na mpaka sasa hawajatoa ajira mpya?
rushwa rushwa rushwa ndio imetapakaa kwenye ile ishu ya kutoa ajira na responsible ni director of human resource ambaye ni mwanamama do jung.
episode 11, 12 (= ep 6 sijabahatika kuzitafuta mpaka muda huu na sitaki unisimulie kilichotokezea mwanzo mwisho just nipe summarize) [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈππ
View attachment 1069778