- kuna uwezekano president kang anawafahamu kiundani wafanyakazi wake wote hivyo basi anafahamu fika udhaifu wao, huenda mzee alikuwa anafahamu fika kama nikimweka nafasi ya director of HR mwanamama do jung kwa tamaa zake atayatumia vibaya madaraka yake, kiukweli mpaka sasa sijaifahamu sura halisi ya president kang Kang Sam-Do
- na ukiangalia ni kweli mwanamama kivyovyote alihongwa ili amwezeshe yule msichana apate ajira ndani ya daehan bank. hivyo basi ukiangalia mtiririko wa matukio utagudundua viongozi wote wenye nguvu aliyowaondoa madarakani amewaondoa kwa sababu za msingi. nimeona preview ya episode ya jana nafasi ya director amemteua Han Soo-Ji baada ya kugundulikana kashfa ya uchakachuaji wa zoezi la kuajiri wafanyakazi wapya
- wafanyakazi wengi wa daehan tokea arudi kazini bwana lee ha gon wamekuwa wakijipendeza kwake na si ajabu kukutana ofisini kwake kujadiliana maswala mbali mbali, president kang huenda amempunguzia madaraka ili jamaa asiwe na ngivu kubwa ndani ya taasisi ya daehan
- director aliwauliza marais wa benki kuna uvumi unaosema ya kwamba taasisi nyingi za kibenki zimejikita zaidi kwenye ishu ya kujiongezea zaidi kipato chao kwa kupunguza baadhi ya matawi (internal restructing) huku huduma kwa wananchi zikiwa hafifiu, hili swali alimlenga president kang na benki yake ya daehan, kama nilivyo suggest coment ya mwanzo huenda assembly jung kwa kushirikiana na chief of judiciary ambaye mtoto wake ndiye yule kilaza walikuwa pamoja kwenye ishu ya kumweka kwenye corner president kang atoe ajira kupitia daehan institute.
- ndipo rais mmoja wa benki akajibu hapana muheshimiwa sio taasisi zote bali ipo benki moja ya biashara ndio imeamua kufunga zaidi ya matawi yake 100 jambo lililopelekea waliokuwa wafanyakazi kuwa jobless. ndipo director akamuuliza president kang je unazungumziaje madai hayo juu ya benki yako kuyafunga zaidi ya matawi 100
president kang akajibu suala moja tu ambalo lilihusu utoaji huduma kwa wananchi ambapo alijibu wafanyakazi wetu wanatoa huduma nzuri sana kwa wananchi,
lakini director hakuwa na shida ya jibu hilo bali alitaka kufahamu kwa nini taasisi yake ya daehan imefunga zaidi ya matawi 100 na mpaka sasa hawajatoa ajira mpya?
rushwa rushwa rushwa ndio imetapakaa kwenye ile ishu ya kutoa ajira na responsible ni director of human resource ambaye ni mwanamama do jung.
episode 11, 12 (= ep 6 sijabahatika kuzitafuta mpaka muda huu na sitaki unisimulie kilichotokezea mwanzo mwisho just nipe summarize) [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
🙁🙁
View attachment 1069778