[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ππππ mamaaaaaa nimeingia 18 za jasusi uchwaraaaa
nipo juu mawinguni
Anhaaa! Sikujua ila Haizuiii kukuuliza Pepa Lini!?umri wangu mimi ni mara tatu ya umri wako, unajua kama kiumri namzidi jurgen klopp?
Hmmm!!!yes ni drama nzuri kuliko bakuli la urojo wa forodhani usiku
Nishasahau Izo Hesabu Karibia Miaka 29 Iliyopita....mwezi JULY.
nasisitiza tena hivi ulisoma hesabu za aljebra darasa la nne?
umri wa panya ni mara mbili ya umri wa paka.
hesabu za kipumbavu, umri wa panya unanihusu nini mimi sungura
Kamdangaye Mtoto Mdogo Wa Leo....kazi kwako, 29 +31 = 60
Mbona unamuita Jasusi!??ππππ mamaaaaaa nimeingia 18 za jasusi uchwaraaaa
nipo juu mawinguni
wewe unamchukuliaje khantwe?Mbona unamuita Jasusi!??
Ndo Mwaka Gani!?babu yangu amefariki mwaka wa sungura
Mi Si Mjuz Wa Kumfahamu Mtu Kupitia Maandiko!wewe unamchukuliaje khantwe?
hata comment zake naziogopa kuzinukuu
khantwe ameajiriwa usalama wa taifaMi Si Mjuz Wa Kumfahamu Mtu Kupitia Maandiko!
π³umeona jinsi ulivyo mdogo
hahahahahaaaaaaa mwaka waliozaliwa twiga wengi babu yangu anafunga ndoa
Mmeajiriwa Wote Uko!khantwe ameajiriwa usalama wa taifa
taarifa ndio hiyo
Sawa Ahjussi Ulobobea..kazi kwako
πππnamjuaje uyo ahjumma mtarajiwa.
halafu kwa nini leo imekuwa ni vigumu kuniamini?
Utamuweza huyo kijanaMbona unamuita Jasusi!??
babu yangu amefariki mwaka wa sungura
Wewe usije ukasababisha nikakosa mchumba humu ndani, watanikimbia wakiamini mimi mtu wa kitengowewe unamchukuliaje khantwe?
hata comment zake naziogopa kuzinukuu
khantwe ameajiriwa usalama wa taifa
taarifa ndio hiyo
Wewe