Mi Nipo na Haechi,Waikiki Iloifanya Siku yangu leo Kua Nyepesi (Kama Kanga Ya India) Na Her Private Life,muda mchache ujao nitakuzidi wewe
- haechi drama
- the banker
- doctor prisoner
yule mfalme mimi alinifanya niwe uncomfortable, muda wote ameuchuna kama mwanamme aliyekwenda kutambulishwa familia ya matapeli na mchumba wake wa kike.
Hahaha miaka 55 ya Muungano. Taifa lenye watu 55 milioni linakusanya 1.2 trilioni kwa mwezi, nusa fedha hiyo inatumika kulipa mishahara ya watumishi wa umma. Halafu inayobaki ndiyo inayopelekwa kwenye huduma mbalimbali,je boti yetu inaweza kulikwepa wimbi la madeni?! Anyway Joseon itajengwa ama kubomolewa na wajozoni wenyewe, Endapo Taifa lao litashindwa kuwawezesha Watu wake wajikite na kujifunza mambo mbalimbali ya sayansi na teknolojia pia kupata Elimu ya kutumia raslimali zao ni vigumu kusonga kwani hatutokuwa na huduma bora mbalimbali, Wasije wakainyooshea mkono wa lawama Quing/Ming kwa kupinga juhudi zao, kwani boti iliyoshikamana vizuri inaweza kupasua katikati ya wimbi Kubwa.hahahahaaaaaaaa kheri ya miaka 55 ya muungano wetu.
au tumeshavuka 55?
Hongera jamani tunaenda kunywa soju wapi
Thanks darling, lakini ujue kumtamanisha unnie hivyo siyo poa maana mpaka niipate sasa au nije kuichukua nini kama unayo kny external, sijaangalia hawa watu kitambo sana ngoja nianze rasmi.Hello babe [emoji1423]
Hiyo kitu ni must watch Unnie, mimi tokea nimeimaliza mpaka sasa nimeharibikiwa drama nyingine siziwezi.
Nimejaribu Misty nimeishia episode 1, Mr. Sunshine ambayo watu wengi waliikubali sana naingalia nipo episode 3 ila nashindwaaaa [emoji30][emoji30][emoji30]
Anza kuiangalia sasa hivi love, nasubiri feedback.
Dah how i wish, mimi pia huwa naangalia mwenyewe raha ya series uwe na kampani ila tupambane hivyo2 tuje tupeane reviews kama hivi.Basi nimetamanije tungekuwa tunaangalia wote? Sasa hivi naangalia mwenyewe tu mdogo wangu yuko skuli wengine home hawako interested.
Raha sana kuangalia hizi mambo zetu na kampani.
Karibu soju lkn sharti uje na drama za maanahahahahaaaaaaaa kheri ya miaka 55 ya muungano wetu.
au tumeshavuka 55?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtu ujue una ufala kilo nyingi sana
Hahaha kwa hiyo le mutuz ana uzito wa tani mbiliina maana ufala wangu unazidi tani 2 kama uzito wa Lemutuz?
Anha! Nimewapenda Bure Cast Wake! na Baadhi yao Mara ya Mwisho Kuwaona Ni Kwenye Six Fly Drama!ndio nimeanza kuiangalia episode 1 muda huu, hadithi yake inayozungumzia tukio la kihistoria lilitokezea miaka ya mwishoni mwa utawala wa Joseon.
Donghak Peasant Revolution
Inawezekana Tulikua Tunaangalia Muda Sawa!ndio nimeanza kuiangalia episode 1 muda huu, hadithi yake inayozungumzia tukio la kihistoria lilitokezea miaka ya mwishoni mwa utawala wa Joseon.
Donghak Peasant Revolution
Thanks darling, lakini ujue kumtamanisha unnie hivyo siyo poa maana mpaka niipate sasa au nije kuichukua nini kama unayo kny external, sijaangalia hawa watu kitambo sana ngoja nianze rasmi.
kuna baadhi ya fans hawajafurahishwa na kitendo cha Yoon Shi-yoon kuwa second lead actor.Anha! Nimewapenda Bure Cast Wake! na Baadhi yao Mara ya Mwisho Kuwaona Ni Kwenye Six Fly Drama!