Uyo mnyama kwenye avater yako( head chief) kwenye EMPEROR OF SEA alinikosha sana. Pamoja na jang bogo.
Kuniita muheshimiwa kwa ubongo wangu mdogo ni kama unakuwa umekoseaahsante sana muheshimiwa kwa hii heshima kubwa ulionipa
Mi Nikikupa Unahamaki Muonee!!ahsante sana muheshimiwa kwa hii heshima kubwa ulionipa
hapana hapana binadamu hapaswi kujishusha kiasi hicho, kuna maeneo upo vizuri zaidi yangu kiuelewa.Kuniita muheshimiwa kwa ubongo wangu mdogo ni kama unakuwa umekosea
ahsante kwa kuwa rafiki yangu wa kwanza kwa jinsia ya kike.
Basi na mimi hiyo heshima uliyonipa naikubali kwa mikono miwili[emoji122][emoji122][emoji122]hapana hapana binadamu hapaswi kujishusha kiasi hicho, kuna maeneo upo vizuri zaidi yangu kiuelewa.
Kali sana hiii,,afu ina histolia ya kuuzunishaMimi nipo naicheki hii hapaView attachment 1109730
Iangalie mkuu ni nzuri sanahahahahahaaaa
muheshimiwa umeamua kunisukumia mzigo upande wangu.
ballad of seodong drama sijawahi kuiangalia
ahsante sana kwa hii proposal yako, nitajaribu kuiangalia siku za mbeleni nitakapopata nafasi.Iangalie mkuu ni nzuri sana
Imenichukua Masaa Kujibu Hili.ahsante kwa kuwa rafiki yangu wa kwanza kwa jinsia ya kike.
Nilikuwa busy sana na Biashara sababu ya ujio wa Rais wa China Xi JingPing huku Pyeongyang.@Great Conqueror njoo mara moja najua upo bize sana muda huu, kuna wambea wamekuona maeneo ya pyeongyang unafanya biashara ya korosho, hivi bado tu hujakutana na muheshimiwa kim jong un ukapata kumuuzia hizo korosho kwa sababu jamaa pia ana tatizo la nguvu za kiume kama wanaume wa kinondoni.
huyu babu yako bwana mfalme sukjong alikuwa na wake wangapi ambao ni maarufu sana kwenye maandishi ya historia, najua jawabu naweza kulipata maeneo ya google ila nimekuita makusudi nipate kuiona comment yako humu ndani hata kama utanijibu baada ya mwaka mmoja sitochukia my brother.
- jang ok jung a.k.a jang hui bin
- queen in hyeon
- dong yi
- ..............
- .............
- ..................
ππ Umejichagulia maswali mepesi, dooh! Kweli nimeamini mfano huwa mwepesi kuliko maswali.huyu babu yako bwana mfalme sukjong alikuwa na wake wangapi ambao ni maarufu sana kwenye maandishi ya historia, najua jawabu naweza kulipata maeneo ya google ila nimekuita makusudi nipate kuiona comment yako humu ndani hata kama utanijibu baada ya mwaka mmoja sitochukia my brother.
- jang ok jung a.k.a jang hui bin
- queen in hyeon
- dong yi
- ..............
- .............
- ..................
kila la kheri bwana mkubwa na harakati zako za kimaisha, natumai siku moja pindi maisha yatakaponyooka basi utanialika tugonge japo chupa 40 za soju pamoja na mkia wa nguruwe uliochomwa.Nilikuwa busy sana na Biashara sababu ya ujio wa Rais wa China Xi JingPing huku Pyeongyang.
Huku Pyeongyang Kiongozi wetu mkuu ( Kim Jong Un a.k.a Kiduku) ndiye anaruhusiwa kula Nguruwe. Wengine nope.kila la kheri bwana mkubwa na harakati zako za kimaisha, natumai siku moja pindi maisha yatakaponyooka basi utanialika tugonge japo chupa 40 za soju pamoja na mkia wa nguruwe uliochomwa.
Umefuta Hata Sijasoma Vizuri Lol!kila la kheri bwana mkubwa na harakati zako za kimaisha, natumai siku moja pindi maisha yatakaponyooka basi utanialika tugonge japo chupa 40 za soju pamoja na mkia wa nguruwe uliochomwa.
comment nyengine ni za muda maalum, dawa yake zipige screen shot kuanzia leo π π πUmefuta Hata Sijasoma Vizuri Lol!