Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ahsante sana muheshimiwa kwa hii heshima kubwa ulionipa
Mi Nikikupa Unahamaki Muonee!!

Nimepatwa Na Hisia Kali (Emotion) Baada Ya Episode ya Jana/Leo ya One Spring Night

Hii Drama Inanifunza Sana! Kati ya Drama Chache Zinazoacha Mafunzo Baada ya Kuziangalia

Kudos Kwa Producer and Director Na Writer Pia Maana Kazi si Ya Kitoto.
 
@Great Conqueror njoo mara moja najua upo bize sana muda huu, kuna wambea wamekuona maeneo ya pyeongyang unafanya biashara ya korosho, hivi bado tu hujakutana na muheshimiwa kim jong un ukapata kumuuzia hizo korosho kwa sababu jamaa pia ana tatizo la nguvu za kiume kama wanaume wa kinondoni.

huyu babu yako bwana mfalme sukjong alikuwa na wake wangapi ambao ni maarufu sana kwenye maandishi ya historia, najua jawabu naweza kulipata maeneo ya google ila nimekuita makusudi nipate kuiona comment yako humu ndani hata kama utanijibu baada ya mwaka mmoja sitochukia my brother.
  1. jang ok jung a.k.a jang hui bin
  2. queen in hyeon
  3. dong yi
  4. ..............
  5. .............
  6. ..................
Nilikuwa busy sana na Biashara sababu ya ujio wa Rais wa China Xi JingPing huku Pyeongyang.
 
😁😁 Umejichagulia maswali mepesi, dooh! Kweli nimeamini mfano huwa mwepesi kuliko maswali.
 
Nilikuwa busy sana na Biashara sababu ya ujio wa Rais wa China Xi JingPing huku Pyeongyang.
kila la kheri bwana mkubwa na harakati zako za kimaisha, natumai siku moja pindi maisha yatakaponyooka basi utanialika tugonge japo chupa 40 za soju pamoja na mkia wa nguruwe uliochomwa.
 
Huku Pyeongyang Kiongozi wetu mkuu ( Kim Jong Un a.k.a Kiduku) ndiye anaruhusiwa kula Nguruwe. Wengine nope.
 
kila la kheri bwana mkubwa na harakati zako za kimaisha, natumai siku moja pindi maisha yatakaponyooka basi utanialika tugonge japo chupa 40 za soju pamoja na mkia wa nguruwe uliochomwa.
Umefuta Hata Sijasoma Vizuri Lol!
 
Back
Top Bottom