Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Halafu tabia ya kutokumsabahi unnie si nzuri, huyu jamaa kny Hong Dil Gong ndio hakunivutia kabisaaa, huwa anavutia akiwa smart na suti
 
Bora niandike maumivu maana sijawahi kupata dawa ya kusubiri
 
Halafu tabia ya kutokumsabahi unnie si nzuri, huyu jamaa kny Hong Dil Gong ndio hakunivutia kabisaaa, huwa anavutia akiwa smart na suti

Unnieeeeeeee, I’m sorry jamani
Huku nawakwepa siku hizi maana mmezidi kunirusha roho wakati mwenzenu nimepumzika, nataka nirudi kwenye mambo yetu next week ndio tutaenda sawa.

Jamaa yetu hapa aliyenaswa ‘mbugani’ lol [emoji38] sijawahi kuona drama yake nyingine tofauti na Hong Gil Dong na nilitokea kumkubali kiasi, simjui saaaaaana.
 
Kisses from unnie.... huku siyo pa kuhudhuria sana tena Daemusin akome kutuita. Naomba ukipata muda tafuta Lie to me...
Sirudi hapa tena niko busy naelekea chattle.
 
Kisses from unnie.... huku siyo pa kuhudhuria sana tena Daemusin akome kutuita. Naomba ukipata muda tafuta Lie to me...
Sirudi hapa tena niko busy naelekea chattle.

[emoji8][emoji8][emoji8]
Hahaaaaa naona umenipa na homework kabisa, kweli hapa hapafai!
Thanks Unnie, nitafanya hivyo love.
 
Bora niandike maumivu maana sijawahi kupata dawa ya kusubiri
teh teh teh mvumilivu hula mbivu japokuwa mwezi september ni mbali sana.

kuanzia leo na wiki ijayo huenda nikaongezeka uzito kwa sababu project takribani zote ninazozifuatilia kila wiki zinaelekea ukingoni, vile vile nimedhamiria nisiongeze project yeyote kwa muda huu.

mwezi June nimepitiliza kiwango nilichojiwekea mwaka huu kufuatilia korean drama hivyo basi mwezi July utalazimika kuziba gape langu la kupunguza kiwango cha ulevi.

unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako ila ni faida kwa serikali tukufu.

kuna wajinga wamenipa jina la ARAMUN HAESULLA na sijui lengo lao ni lipi haliyakuwa hata farasi namuona kupitia televisheni.
tuombe uhai ili tupate kushuhudia vita ya ndugu wawili wasiojuana.
ndugu wawili wenye sifa na tabia tofauti.

kongole kwake bwana song joong ki kwa kutuonyesha sura mbili kupitia mwili mmoja.
 
Attachments

  • 1562859334588.png
    173.8 KB · Views: 30
Kisses from unnie.... huku siyo pa kuhudhuria sana tena Daemusin akome kutuita. Naomba ukipata muda tafuta Lie to me...
Sirudi hapa tena niko busy naelekea chattle.
nimekoma, nimekoma na sitorejea tena tabia yangu ya kujifanya muitaji watu kwenye sherehe yangu binafsi haijalishi niwe nimepata mualiko kupitia kituo cha BBC france.

kwa mara nyengine nawaahidi sitorejea tena tabia yangu.
lakini nina ombi kwa mara ya mwisho kama mdogo wenu nisiyefahamu lugha ya malikia.

kufa na kutoweka
kufa
au kutoweka

nahitaji munipe utofauti wake 😷😷😷😷
 
Wewe Daemusin wewe... Sisi dada zako tuna familia, kama unataka ufafanuzi halisia basi tusisitize tukufafanulie. Ndipo utakapojua maana ya “disappeared and died”
 
September ni mbali can't wait lakini vita vya 3 igutus
 
Simjui, amecheza drama gani?
 
September ni mbali can't wait lakini vita vya 3 igutus
Kama September waona mbali sie tunaosubiri Marvel Movies Phase 4 tusemeje?? Mfano
Muvi ambayo inapikwa sasa itakayoanza kutoka ni Black Widow itatoka may 2020. Kwa umaskini wangu mpaka marvel waiachie tuweze kuipakua itakua si chini ya miez 6-7 Hivyo nitasubiri mpaka November au January 2021 ili niweze kuipakua,Otherwise niandae buku 15 niende Am Mall. Ikumbukwe Captain Marvel imetoka Marc ila mpaka Leo haijaachiliwa iweze kupakuliwa Kwenye Torrent. Vumilia miss September sio mbali.
 
The king loves ipo vizuri

Napenda hizi historical drama zenye episode 20 tu mwisho 30 basi kwenda 50 huko mbali labda ziwe family drama tena modern
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hao marvel tumeshawazoea tofaut na wakorea hua zinatoka episodes mfululizo hamna kusubiria miezi.
Nilikua nawaonea huruma wanaofatilia GOT walivyokua wanangojea season 8
 
The king loves ipo vizuri

Napenda hizi historical drama zenye episode 20 tu mwisho 30 basi kwenda 50 huko mbali labda ziwe family drama tena modern
Wewe kama mimi yani napata uvivu kuangalia episodes nyingi empress Ki nilijikaza[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…