Actor Kang Ji Hwan Arrested For Sexual Assault
style mpya ya uwasilishaji taarifa kutoka kwangu kwa sababu watanzania munapenda simulizi za ukweli zenye kuwasilishwa kwa njia ya utani
kwa mujibu wa ubuyu wa bi fatuma maringo:
bwana kang ji hwan alirudi nyumbani kwake usiku akiongozana na wasichana wawili ambao ni waajiriwa wa management inayomsimamia kikazi (si mnanuja tabia za wakorea hawatosheki na kinywaji pendwa)
wakanywa weeee mpaka bwana kang akapitikiwa na taarifa za mbuga kuu ya wanyama kuhamishiwa chato (akaingia chumba walicholala wasichana na kuanza kumfanyia vitendo viovu
mrs kulala unono pamoja na
mrs kulala vizuri, huyu mrs kulala vizuri hakufikia hatua kubwa sana ya kuhamishia mbuga (
indecent assault))
asubuhi yake mrs kulala unono akampigia simu rafiki yake anayeishi mji wa seoul na kumuhadithia mkasa mzima na akamuomba awapigie simu polisi waelekee sehemu ya tukio (nyumbani kwa bwana kang beberu mwitu)
walipofika kituo cha polisi bwana kang alisema ni kweli jana usiku nilikunywa lakini sikumbuki chochote kilichotokezea baada ya hapo, sielewi nimefikaje kwenye chumba alicholala mrs kulala unono.
jeshi la polisi wataendelea kumuhoji tena bwana kang ji hwan ili wapate kufahamu ukweli wa tukio zimaaaa la kupatwa kwa celebrity kutoka chato.
Prishaz noona bado unaendelea kumuwaza huyu mchumba uchwara anayeshindwa kutofautisha kati ya juisi ya embe na juisi ya ngano?
aminas chingu hivi una wachumba wangapi vilee
Khantwe na huyu pia wa kwako? najua utamkana kama bwana yule alivyomkana yesu kristo
Nifah huyu hajawahi kuwepo kwenye list ya kumrithi baba daehan?
View attachment 1150593