Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Kama September waona mbali sie tunaosubiri Marvel Movies Phase 4 tusemeje?? Mfano
Muvi ambayo inapikwa sasa itakayoanza kutoka ni Black Widow itatoka may 2020. Kwa umaskini wangu mpaka marvel waiachie tuweze kuipakua itakua si chini ya miez 6-7 Hivyo nitasubiri mpaka November au January 2021 ili niweze kuipakua,Otherwise niandae buku 15 niende Am Mall. Ikumbukwe Captain Marvel imetoka Marc ila mpaka Leo haijaachiliwa iweze kupakuliwa Kwenye Torrent. Vumilia miss September sio mbali.
Hahaha.Wacha niendelee na kufanya Assignment.teh teh teh anatafuta mchekeshaji ndani ya emperor wang guhn?
hivi alishawahi kumuona muigizaji wa kike wa korea akawa na matiti makubwa haijalishi amekwenda chumba cha uzazi mara sita kama zari zarina?
Fuatilia "IRIS" kituo cha ITV saa 4:15 usiku,jtatu hadi Jtano!
ina maana zile CD za iris 1 zinazomilikiwa na kituo cha ITV bado hazijachunika?Fuatilia "IRIS" kituo cha ITV saa 4:15 usiku,jtatu hadi Jtano!
nimeshachoshwa na hadithi za lee seung gye, lee bang won, lee do, jung do jeon na jeong mong jo.Ile Tear Of The Dragon ikiwa subtitled utaitazama?!
kwako mwalimu Daemusin
Hahaha Drama ya Jeong Do Jeon na Great King Sejongnimeshachoshwa na hadithi za lee seung gye, lee bang won, lee do, jung do jeon na jeong mong jo.
hata kama wataiweka subtitle sidhani kama itaniongezea ushawishi wa kuifuatilia.
ni sawa sawa na kupikiwa biryani zuriii lililotiwa kitoweo cha sokwe ndani yake, kwangu mimi halitonivutia lakini kwa wengine watavutiwa na chakula hicho.
Mkuu Numbisa Asante.Lakini hii sasa hutia wazimu.Unaweza kuta umesimamisha shughuli zote unafuatilia series tu😂😂😂Tafuta site nzuri download mzigo mzima ufaidiView attachment 1162773
ITV wameanza kuonyesha karibuni.Kabla ya hapo kuna tamthilia walikuwa wakionyesha inaitwa Destino.Baada ya kwisha ndio wakaanza kuonyesha IRIS.ina maana zile CD za iris 1 zinazomilikiwa na kituo cha ITV bado hazijachunika?
daebak.
huu ni mwaka wa 10 tokea tamthilia ya iris 1 itengenezwe
hii itakuwa ni mara ya 50 tokea ITV waionyeshe drama ya iris 1.
dah kama kuna mtu bado hajaifahamu iris 1 hadithi yake basi anapaswa ahudhurie darasa la ras kilomoni wa simba
ITV wameanza kuionyesha IRIS 1 tokea daemusin hajui kuandika barua rasmi kwa lugha ya kiingereza.ITV wameanza kuonyesha karibuni.Kabla ya hapo kuna tamthilia walikuwa wakionyesha inaitwa Destino.Baada ya kwisha ndio wakaanza kuonyesha IRIS.
namba 2 nitakuwa mimiAnyone anafuatilia hotel del luna ya IU na Jingoo au niko mwenyewe [emoji4][emoji4][emoji4]
Anyone anafuatilia hotel del luna ya IU na Jingoo au niko mwenyewe [emoji4][emoji4][emoji4]