Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Niambie nikupataje tubadirishane.. Note. Uwe mkoa wa ukanda wa kaskaz
 
umekosea jina sio dependant bali defendant.

Halafu sio nzuri kuzidi za vijijini. Hebu tafuta tu hii mfano tu 100 days my prince.
 
Hii hapo [emoji1432][emoji1432][emoji1432][emoji1432]
katoa recommendation mdau. Nunua bando shusha mzigoo
Wewe kama ni Ndugu yangu vile sipendi Drama za Kimapenzi Miye ni mkono( Vita), Siasa, story ya kawaida na komedy.
 
Tatizo kuelezea ngumu sana. Kushuka story nzima au nusu yake majanga.

Nilikua sipendi za vijijini kwa sababu ya ugumu kuzielewa ila nilipoiona ya jewel in the palace channel ya capital na kuipenda nikaanza fatilia historical
Asante kwa kunisahihisha mrembo kiukwel za kijijini sinaga mizuka nayo ebu nielezee kwa kifupi hiyo series inahusu nini ninaweza kuvutiwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…