Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Hahaha Mfalme mdebwedo kweli kweli,Kajeuri kweli liprince Togon sijui lilimchukuaje maana lilikuwa boya sana au ndo yale yale wanawake hatujuagi huwa wanapenda nini kwetu
Hata na mimi kwa kweli jembe ni mfalme wa KoryoHahaha Mfalme mdebwedo kweli kweli,
Pengine kuliko drama zote nilizowahi kuziona.
Halafu huyo bwege alimuua kibwege.Hata na mimi kwa kweli jembe ni mfalme wa Koryo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kimya chenu kinanikera, ina maana kuna mtu mwenye assignments ngumu kuliko miye?!
Episode 200 + Episode 158
Lakini bado nahudhuria humu.
Ni kweli kabisa, ni jambo jema sana watu kujumuika na kuwa pamoja katika hali zote.Kweli kabisa, ubize katika masula mbali mbali una chagiza.
Ila tusiruhusu, ubize ukawa chanzo cha kudhohofisha mahusiano yetu, kila kitu kinaongozwa na akili, katika ulimwengu huu wa nyama. Tusiruhusu matukio yatuongoze.
Huko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nipo na Empress Ki sehemu ya tisa si unajua mimi ni mtu wa nyuma nyuma sana mpaka nyie msifie kwanza ndo mimi nafuatilia baadae
Kwa hiyo usijali mkuu tupo pamoja japo na mimi nakereka pia kwa ukimya huu
Nitazifikisha mkuuHuko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.
Huyo jamaa aliyecheza hiyo nafasi alikuwepo pia katika Queen Seon Deok. Alikuwa "mwoga mwoga" ila huko kwenye Empress Ki anajifanya 'kauzu' zaidi ya dagaa. Hahaha! Msalimie sana.
Ila kama jembe langu liliuawa na huyu boya basi siiendelezi tena maana sipendagi picha za kuniumiza rohoHuko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.
Huyo jamaa aliyecheza hiyo nafasi alikuwepo pia katika Queen Seon Deok. Alikuwa "mwoga mwoga" ila huko kwenye Empress Ki anajifanya 'kauzu' zaidi ya dagaa. Hahaha! Msalimie sana.
Kwani alimpenda? Si alienda kwa mission maalumKajeuri kweli liprince Togon sijui lilimchukuaje maana lilikuwa boya sana au ndo yale yale wanawake hatujuagi huwa wanapenda nini kwetu
Queen Seondeok pia mfalme alikuwa kilaza sanaHahaha Mfalme mdebwedo kweli kweli,
Pengine kuliko drama zote nilizowahi kuziona.
Hahaha kule alikuwa anadeka sana kila saa omonyiiiiHuko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.
Huyo jamaa aliyecheza hiyo nafasi alikuwepo pia katika Queen Seon Deok. Alikuwa "mwoga mwoga" ila huko kwenye Empress Ki anajifanya 'kauzu' zaidi ya dagaa. Hahaha! Msalimie sana.
Mimi naomba umsalimie Tal tal...ndio alikuwa jembe langu mle ndaniTangqishi namkubali sana kwenye hii picha
IpaIla kama jembe langu liliuawa na huyu boya basi siiendelezi tena maana sipendagi picha za kuniumiza roho
Kwani alimpenda? Si alienda kwa mission maalum
Hiyo Empress Ki ni moja ya Drama nzuri sana. Nimei-Recommend kwa watu wengi tu na wameipenda sana. Nakushauri, iendeleze mpaka mwisho mkuu.Tangqishi namkubali sana kwenye hii picha
IpaIla kama jembe langu liliuawa na huyu boya basi siiendelezi tena maana sipendagi picha za kuniumiza roho
Yeah! pia alikuwa akipenda mizaha na kutaniana sana na mjomba wake Misaeng.Hahaha kule alikuwa anadeka sana kila saa omonyiiii
[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka eti Misaeng ana watoto wengine hawajui hata majina yaoYeah! pia alikuwa akipenda mizaha na kutaniana sana na mjomba wake Misaeng.
Wote wawili walikuwa na watoto wengi mpaka wanawahesabu kwa vidole na hata majina yao hawayakumbuki.
Hahaha! Misaeng alikuwa na 'vituko' sana. Mara awacheke wenzake kwamba hawajui kuendesha farasi wakati hata yeye mwenyewe hajui.[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka eti Misaeng ana watoto wengine hawajui hata majina yao
Jang Youngsul nataman nipate iliyotafisiriwaDaebak...