Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kweli kabisa, ubize katika masula mbali mbali una chagiza.
Ila tusiruhusu, ubize ukawa chanzo cha kudhohofisha mahusiano yetu, kila kitu kinaongozwa na akili, katika ulimwengu huu wa nyama. Tusiruhusu matukio yatuongoze.
Ni kweli kabisa, ni jambo jema sana watu kujumuika na kuwa pamoja katika hali zote.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nipo na Empress Ki sehemu ya tisa si unajua mimi ni mtu wa nyuma nyuma sana mpaka nyie msifie kwanza ndo mimi nafuatilia baadae
Kwa hiyo usijali mkuu tupo pamoja japo na mimi nakereka pia kwa ukimya huu
Huko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.

Huyo jamaa aliyecheza hiyo nafasi alikuwepo pia katika Queen Seon Deok. Alikuwa "mwoga mwoga" ila huko kwenye Empress Ki anajifanya 'kauzu' zaidi ya dagaa. Hahaha! Msalimie sana.
 
Tangqishi namkubali sana kwenye hii picha
Ipa

Ila kama jembe langu liliuawa na huyu boya basi siiendelezi tena maana sipendagi picha za kuniumiza roho
 
Huko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.

Huyo jamaa aliyecheza hiyo nafasi alikuwepo pia katika Queen Seon Deok. Alikuwa "mwoga mwoga" ila huko kwenye Empress Ki anajifanya 'kauzu' zaidi ya dagaa. Hahaha! Msalimie sana.
Hahaha kule alikuwa anadeka sana kila saa omonyiiii
 
Tangqishi namkubali sana kwenye hii picha
IpaIla kama jembe langu liliuawa na huyu boya basi siiendelezi tena maana sipendagi picha za kuniumiza roho
Hiyo Empress Ki ni moja ya Drama nzuri sana. Nimei-Recommend kwa watu wengi tu na wameipenda sana. Nakushauri, iendeleze mpaka mwisho mkuu.

Huyo Tangqishi pamoja na ndunguze bila kusahau dada yake wote ni ma 'kauzu' na baba yao ndiyo usiseme. Ila hawakujua kuwa kuna 'kauzu' zaidi yao.

Nimedokeza tu kidogo, ila hiyo Drama imesheheni vitu vingi sana vyenye kila aina ya burudani ndani yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka eti Misaeng ana watoto wengine hawajui hata majina yao
Hahaha! Misaeng alikuwa na 'vituko' sana. Mara awacheke wenzake kwamba hawajui kuendesha farasi wakati hata yeye mwenyewe hajui.

Ile siku alitia fora sana, familia nzima ilimshangaa na kumcheka.
 
Back
Top Bottom