Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Weeeee ni nzuri sana.Hii King 2 heart ikoje, ninayo lkn siwezi kuiona format iko tofauti nafikiria niifute tu.
Iangalie mimi niliipenda halafu sio ndefu.
Nafikiri haizidi episode 20.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeee ni nzuri sana.Hii King 2 heart ikoje, ninayo lkn siwezi kuiona format iko tofauti nafikiria niifute tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiangaliaga ile muvi ndo huwa naamini ule msemo hakuuna mkate mgumu mbele ya chai. Kiburi chote cha Jun Pyo alikuwa anabaki mdogo kama piritoni kwa maid wakeUwiiiiiii ile surprise ilikuwa nomareeee [emoji119][emoji119][emoji119].
Jan Di mashamba hana exposure.Mashauzi ya mamake Jun Pyo vepeee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale Jan Di alipojikwaa vepee [emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiii.
Baadae akaja kuwa maid wa Jun Pyo...dah umenikumbusha mbali sana.
Basi mama usimalize utamu ngoja niisakeWeeee umefeli shoga,ile kitu ni noma.
Baada ya Boys Before Flowers ndio niliangalia hiyo.
Nakumbuka ilikuwa 2013.
Nililiaaaaa,itafute kwa bidii utaniambia.
Mimi nilikuwa napenda Jun Pyo akienda kwa akina Jan Di anavyopokelewa vizuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiangaliaga ile muvi ndo huwa naamini ule msemo hakuuna mkate mgumu mbele ya chai. Kiburi chote cha Jun Pyo alikuwa anabaki mdogo kama piritoni kwa maid wake
Poa, utanipa feedback.Basi mama usimalize utamu ngoja niisake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wale watu ni shidaaMimi nilikuwa napenda Jun Pyo akienda kwa akina Jan Di anavyopokelewa vizuri.
Walikuwa wanamtreat kama mfalme hadi raha.
Jamani family ya akina Jan Di ni comedy tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa my, nitaiangalia asante.Weeeee ni nzuri sana.
Iangalie mimi niliipenda halafu sio ndefu.
Nafikiri haizidi episode 20.
Mie ile Growing pain ndiyo naipenda sana,naweza kuisikiliza kwa kuirudia zaidi ya Mara 4[emoji12] [emoji1]Sasa mdogo wangu anakuambia hakuna movie/series/drama yoyote ya Kikorea anayopenda OST zake kama Road #1.
Kuna ile OST ya The Heirs ya Cry Again haipiti siku niache kuisikiliza.
Guess what,hata leo asubuhi nilikua naisikiliza.
Ni historical drama hiyo mkuu..!?Temptation of an angel
dramafire.comWapi mtu anaweza ku-download hizi vitu?
dramafire.com