omo omo omo
ahjumma mtarajiwa hiyo drama sijawahi kuiangalia hata kidogo na sidhani kama nitaweza kuiangalia (najihisi kuchoka kuangalia drama)
bahati mbaya kwa hizi drama zilizoanza mwishoni mwa mwezi july to august hakuna hata moja ninayoifuatilia.
- doctor john drama : hii naifuatilia na imeshafika ep 10
- hotel del luna drama : imefika episode 12.
- designated survivor drama :imeshamaliza leo
sina mpango wa kuingiza toleo jipya isipokuwa season 3 ya
arthdal chronicles ambayo huenda akipenda Mungu (inshaallah) ikawa ndio funga dimba yangu kwenye ulimwengu huu wa korean drama.