Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahhahaa. Kama Yule Muhuni Aloongozana Na Eunseom Kwenda Kwa Hao Mabaharia Yaani Yule Ndo Baharia Kabisaa.
 
Nimependa Saya Anavyomuaangalia Tanya.. (Siri Yako Usiseme)
 
Hahahhahaa. Kama Yule Muhuni Aloongozana Na Eunseom Kwenda Kwa Hao Mabaharia Yaani Yule Ndo Baharia Kabisaa.
yule amezidiiii
ndani ya dakika moja anaweza kukusaliti mara 10.
yule si baharia bali ni mzamia lulu
 
Watakavyo Kubebe kukuingiza Umo Mnazi Nijulishe, Niweke Tangazo Umu.
 
Watakavyo Kubebe kukuingiza Umo Mnazi Nijulishe, Niweke Tangazo Umu.
teh teh muda huo nitaupata wapi
ukishatiwa kwenye ambulance neno pekee litakalokufanya utolewe ni kumwambia dereva mimi ni tajiri niliyeficha mali yangu nyumbani kwako
 
nimeshaanza kuwa na wasiwasi na mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
wapi ahjumma hye kyo
sijui ana mapengo ndio maana akatelekezwa?
We Mtoto Mzuri Vile Atamuachaje Kwa Mfano!

Yaani Ile Ni Zaidi Ya Maigizo Sikwa Macho Yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…