Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hotel de luna

The great seer

Boring movies
kama hotel del luna imekushinda basi usije ukapoteza muda wako kuiangalia korean odyssey a.k.a hwayugi.
inaonekana hupendi hadithi za ajabu ajabu zisizoendana na uhalisia.
 
Hio nilishaiangalia hivyo hivyo tu nikijutia MB zangu
kama hotel del luna imekushinda basi usije ukapoteza muda wako kuiangalia korean odyssey a.k.a hwayugi.
inaonekana hupendi hadithi za ajabu ajabu zisizoendana na uhalisia.
 
is it a coincidence or fate?
sijui nimeandika sahihi kwa kiingilishi?
tuachane na stori za malikia na mjukuu wake bwana boris

kuna tukio fulani limenitokezea juzi kati ambalo limenipelekea nivunje ahadi yangu ya kuangalia korean drama yeyote ile ambayo sijaiangalia.
tukio hilo limepelekea niitafute bila ya kupenda drama inayoitwa graceful family.
nilianza nayo kama utani hivi na uvivu mwingi ndani yake ila kadri muda ulivyokuwa unasonga mbele ule mzuka wa kutaka kufahamu kinachojiri mbeleni ukawa unaongezeka kwa speed ya 5G.

huenda hii itakuwa ndio drama yangu ya tatu maishani mwangu kuiangalia ikiwa imebeba maudhui ya vita ya urithi wa mali ndani ya family ya kitajiri (chaebol), cha kufurahisha zaidi shujaa wa hii drama atakuwa ni mwanamke.

kama ni assignmet basi nitaipa alama 7.5 /10.
best drama, hamuna muda wa kuchekeana ovyo kama wapigaji penalty wa nkurunziza​
====================================================================================
Mo Seok-Hee (Lim Soo-Hyang) ni binti fulani hivi mrembo kutoka kolomijee na amezaliwa peke yake, baba yake ambaye ndiye CEO wa MC group alikuwa na mke mwengine mchepuko ambaye alimzalia watoto wa kiume watatu pamoja na hawara mwengine ambaye alimzalia mtoto mmoja.

miaka 15 iliopita mama yake aliuliwa na wasiojulikana baadae mo seok hee akahamishwa nchini korea na kupelekwa marekani cha ajabu mipango yote hii iliongozwa na baba yake mzazi.
unajua ni kwa sababu gani?​
babu yake ambaye ndiye muanzilishi wa MC group hataki kuona mwanawe anabeba cheo cha CEO wa mc group bali anapendelea zaidi kumuona mjukuu wake anaongoza kampuni hizo hapo baadae

Ndani ya MC group kuna organization inayoitwa TOP, hiyo taasisi ni kama moyo wa mc group, kabla hujapambana na mc group yenyewe unapaswa kwanza upambane na hiyo taasisi ya TOP.

mara ya kwanza nilipokuwa naiangalia hii drama nikawa naikumbuka makala ya utajiri wa abramovich inayoandikwa na member anayeitwa HABIB ANGA mmoja kati ya waandishi wanaonivutia sana humu ndani, mwanzoni mwa makala yake nakumbuka alitolea mfano wa tajiri fulani kutoka uchagani ambaye kwa sasa ni marehemu na inasemekana naye alikuwa na taasisi yake ya siri iliokuwa ikiongoza harakati zote za kibiashara nyakati za uhai wake.

kama huna drama ya kuangalia basi itafute graceful family kila siku ya jumatano na alhamisi.
changamoto kubwa utakayokutana nayo ni kuchelewa kwa subtitle yake baadhi ya siku.
wiki hii kuna sherehe za chuseok nchini korea hivyo basi haitoendelea episode ya 7 na 8.
  1. https://kissasian.sh/Drama/Graceful-Family
  2. https://www5.dramanice.movie/drama/graceful-family-detail
1568029793481.png

  1. arthdal chronicles drama season 3
  2. when the devil calls your name drama
  3. graceful family drama
wenzangu munafuatilia drama gani kila wiki au zilizo compeleted japokuwa zinanishida njiani?
 
Profile
Drama: Graceful Family (literal title)
Revised romanization: Wooahan Ga
Hangul: 우아한 가
Director: Han Chul-Soo
Writer: Kwon Min-Soo
Network: MBN
Episodes: 16
Release Date: August 21 - October 17, 2019
Runtime: Wednesday & Thursdays 23:00
Language: Korean
Country: South Korea

muhimu sana. Ngoja niisubirie iishe.
is it a coincidence or fate?
sijui nimeandika sahihi kwa kiingilishi?
tuachane na stori za malikia na mjukuu wake bwana boris

kuna tukio fulani limenitokezea juzi kati ambalo limenipelekea nivunje ahadi yangu ya kuangalia korean drama yeyote ile ambayo sijaiangalia.
tukio hilo limepelekea niitafute bila ya kupenda drama inayoitwa graceful family.
nilianza nayo kama utani hivi na uvivu mwingi ndani yake ila kadri muda ulivyokuwa unasonga mbele ule mzuka wa kutaka kufahamu kinachojiri mbeleni ukawa unaongezeka kwa speed ya 5G.

huenda hii itakuwa ndio drama yangu ya tatu maishani mwangu kuiangalia ikiwa imebeba maudhui ya vita ya urithi wa mali ndani ya family ya kitajiri (chaebol), cha kufurahisha zaidi shujaa wa hii drama atakuwa ni mwanamke.

kama ni assignmet basi nitaipa alama 7.5 /10.
best drama, hamuna muda wa kuchekeana ovyo kama wapigaji penalty wa nkurunziza​
====================================================================================
Mo Seok-Hee (Lim Soo-Hyang) ni binti fulani hivi mrembo kutoka kolomijee na amezaliwa peke yake, baba yake ambaye ndiye CEO wa MC group alikuwa na mke mwengine mchepuko ambaye alimzalia watoto wa kiume watatu pamoja na hawara mwengine ambaye alimzalia mtoto mmoja.

miaka 15 iliopita mama yake aliuliwa na wasiojulikana baadae mo seok hee akahamishwa nchini korea na kupelekwa marekani cha ajabu mipango yote hii iliongozwa na baba yake mzazi.
unajua ni kwa sababu gani?​
babu yake ambaye ndiye muanzilishi wa MC group hataki kuona mwanawe anabeba cheo cha CEO wa mc group bali anapendelea zaidi kumuona mjukuu wake anaongoza kampuni hizo hapo baadae

Ndani ya MC group kuna organization inayoitwa TOP, hiyo taasisi ni kama moyo wa mc group, kabla hujapambana na mc group yenyewe unapaswa kwanza upambane na hiyo taasisi ya TOP.

mara ya kwanza nilipokuwa naiangalia hii drama nikawa naikumbuka makala ya utajiri wa abramovich inayoandikwa na member anayeitwa HABIB ANGA mmoja kati ya waandishi wanaonivutia sana humu ndani, mwanzoni mwa makala yake nakumbuka alitolea mfano wa tajiri fulani kutoka uchagani ambaye kwa sasa ni marehemu na inasemekana naye alikuwa na taasisi yake ya siri iliokuwa ikiongoza harakati zote za kibiashara nyakati za uhai wake.

kama huna drama ya kuangalia basi itafute graceful family kila siku ya jumatano na alhamisi.
changamoto kubwa utakayokutana nayo ni kuchelewa kwa subtitle yake baadhi ya siku.
wiki hii kuna sherehe za chuseok nchini korea hivyo basi haitoendelea episode ya 7 na 8.
  1. https://kissasian.sh/Drama/Graceful-Family
  2. https://www5.dramanice.movie/drama/graceful-family-detail
View attachment 1202555

daemusin and im soo hyang are now friends.
 
ongoing: moments of eighteen,Rookie historian

Doctor john,doctor detective,flower in prison
  1. arthdal chronicles drama season 3
  2. when the devil calls your name drama
  3. graceful family drama
wenzangu munafuatilia drama gani kila wiki au zilizo compeleted japokuwa zinanishida njiani?
 
Nilikua Bado Sijafatilia Hili Sakata La Hye Sun Na Jae Hyun, Mida Hii Ndo Nazifatilia Zile Chat Zao Zilizopostiwa na Dispatch. Yaani Ndoa Ni Taasisi Ngumu Sana.

Nimesoma Hizi Chat Yaani Namfeel Hye Sun Sana Sana. Haya Mambo Yaani Lol

Sakata Lao ni Ngumu Na Jepesi Pia. Baada ya Ndoa Ya Song Song Kuvunjika Nilihisi Hii Itasimama Imara Lol! Kumbe Nayo Inafukuta.
hizo comment zinaonyesha dhahiri ku hye sun ndiye chanzo kikuu cha kuharibika mahusiano na mwenza wake.
anamtreat mume wake kama mtoto mdogo asiyejua ufanano wa zero na sifuri.
binti anahitaji msaada wa kimatibabu kutoka kwa wataalamu wa saikolojia.
 
HAPPY CHUSEOK
NAKUMBUKA MWAKA 2018 NYAKATI HIZI NA MWEZI KAMA HUU TULIKUWA TUNAMALIZIA KUIANGALIA MR SUNSHINE DRAMA.
wewe shetani unayeendelea kunifunga humu ndani naomba uwe na moyo wa huruma na upendo juu yangu.

kuna baadhi ya drama wiki hii hazitoendelea kwa sababu ya sherehe hizi za chuseok nchini korea.
  1. graceful family drama​
  2. rokie historian goo hae ryung drama​
  3. strangers from hell​
 
Yaani Iyo Rookie Ninavyoisubiria.!

Hali Yako Mkuu!?
 
hizo comment zinaonyesha dhahiri ku hye sun ndiye chanzo kikuu cha kuharibika mahusiano na mwenza wake.
anamtreat mume wake kama mtoto mdogo asiyejua ufanano wa zero na sifuri.
binti anahitaji msaada wa kimatibabu kutoka kwa wataalamu wa saikolojia.
Na Sheria Kama Zote! Kumchunga Ivyo ndo Hasitoke Nje Ama!?
 
HAPPY CHUSEOK
NAKUMBUKA MWAKA 2018 NYAKATI HIZI NA MWEZI KAMA HUU TULIKUWA TUNAMALIZIA KUIANGALIA MR SUNSHINE DRAMA.
wewe shetani unayeendelea kunifunga humu ndani naomba uwe na moyo wa huruma na upendo juu yangu.

kuna baadhi ya drama wiki hii hazitoendelea kwa sababu ya sherehe hizi za chuseok nchini korea.
  1. graceful family drama​
  2. rokie historian goo hae ryung drama​
  3. strangers from hell​
Inabidi Siku Tukate Keki Waumin Wa Hili Jukwaa Maana si Kwa Hii Miaka..
 
Ila Nyinyi Kwa Akili Zenu Hiyo Njia Labda Haliisi Itafanya Kazi. Kumbe ndo Kuku wa Kienyeji ata ukimuekee Kwenye Sahan Bado Atataka Ya Kwenye Michanga.
alipaswa ampe uhuru kama mwenza wake na si kama ndugu yake na hapo ndipo alipokosea.
mbona mwanzoni walianza vizuri mahusiano yao na hata zile message zilikuwa zinaonyesha jinsi gani ndoa yao ilivyokuwa imara.
 
iko vibaya kiupande wako?
zimebaki episode 4 lakini ukiangalia hadithi yake ndio kama inaanza
sielewi director na crew yake wamedhamiria jambo gani.
Yaani Nimeangalia ya 13Episode Nikatamn Kuona Nachotamn Kuona Sikuona, Nikaja Ya 14 Nayo Ni Vile Vile Naona Kama Inanirudisha Nyuma Ambako Pia Sipaelewi Ni Wapi.

Imekuja Na Vitu Vingii Vingii
 
Back
Top Bottom