Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahaha! Wote Itakua Nimabaharia!

Kumbe Unapitaga Uko, Kuna Siku nilikua Napitia Uzi Mmoja Ivyi Nikaona Comment Yako Nilibaki Kucheka Tu.
hivi comment yangu niliandika upumbavu iyo siku?
hahahahaaaaaa
 
Mpindue tu.
usinione nipo kimya bado nafikiria cha kukujibu na huenda jibu langu kwa njia ya maandishi likachukua muda mrefu πŸ˜›πŸ˜›
ngoja nianze na jibu hili kwanza then pengine mwaka ujao inshaallah nitawasilisha jibu la maandishi rasmi

ndoto imenifanya nikumbuke ujinga wa kuchelewa kwangu mpaka eunseom amekuja kuniibia.
kumbe anayeotwa alikwisha nifungulia milango zamani ila sikuwa nafahamu hilo.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
anyeong
 
Hmm! Haya Nasubili Hayo Maandishi
 
Asee kwangu mm Kuna movie inaitwa CITY HUNTER asee ile movie naeza irudia ata mara miaaa jamaa alieigiza anaitwa LEE MIN HO
 
KWA WANAOJUA JINSI YA KUDOWNLOAD KOREAN DRAMA JAMANI NAOMBA ANIEFUNDISHE
Tumia uc browser

Ingia google andika daebakdrama.com ingia humo tafuta movie uitakayo click utaona maneno click download fata hatua utaweza

Ukiikosa drama uitakayo humo ingia kissassian au dramanice search drama kisha click download chagua rapidvideo utadownload vizuri
 
Asante Numbisa nipo naugulia maumivu ya bando langu,maana sikujua kama ingekua simple kiasi hiki.

Nawaza pa kupata external kubwa hapa maana usiku wa leo TOBOA NIGHT nitalitumia ipasavyo..

😍😍😍😍
 
Katka kuangalia season kwang sijawah kuona season kali kama hyo, na nmehangaika sana kutafuta zaid ya hyo mpaka sasa ni sawa na chinese drama season kali kama God of war.
Nielezee kidogo hiyo six flying dragons inahusu nini?
 
Nice pia kuna dramacool9.co hata mie nilishawahi kupoteza bando pale dramania ilipogoma na harakati za kutafuta mbadala wake.

Hio toboa night ni ofa ya mtandao gani?
Asante Numbisa nipo naugulia maumivu ya bando langu,maana sikujua kama ingekua simple kiasi hiki.

Nawaza pa kupata external kubwa hapa maana usiku wa leo TOBOA NIGHT nitalitumia ipasavyo..

😍😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…