Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Inahitajika Kujibuje Kwanza!?
kuwa na rafiki kama wewe unayeikumbuka siku yangu maalum ya kuzaliwa pindi jua lichomozapo ni jambo linalonipa furaha na baraka kiupande wangu. kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu imemuongeza mwanafamilia mwengine muhimu baada ya wazazi wangu japokuwa hatufahamiani.

natumai tutaendelea kuwa marafiki wenye kufaana kwa njia ya keyboard.
 
Shuklani Chingu Kwa Kuusemea Moyo Wangu.

Mola Wangu Azidi Kueke Baraka Na Utukufu Wake Kwenye Maisha Yako, Yote yenye Kheri Ya Kufate Na Maovu Uyaepuke.

Ahsante Tena Kwa Kuwa Mwanafamilia Mwengine Unae Nikumbuka na Utakae Nikumbuka.

(Nimejibu Sawa!?)
 
umenijibu vyema kuliko hotuba za barack obama, unaonaje ukaombe ajira ofisi ya raisi upate kumuandikia muheshimiwa hotuba zilizojaa maneno ya hekima na busara.
 
Nami naungana nae kukuombea kheri na miaka mingi yenye kheri nyingi.πŸŽ‚πŸΎπŸ₯‚
 
Nami naungana nae kukuombea kheri na miaka mingi yenye kheri nyingi.πŸŽ‚πŸΎπŸ₯‚
ahsante sana dada yangu mpendwa, maneno yako japokuwa ni machache cha ajabu yamezidi kuifanya siku yangu iwe na baraka, laiti kama maandishi yako ningelikuwa nafanikiwa kuyasoma kila siku huenda baraka na neema zangu zikazidi muunganiko wa mlima wa kilimanjaro na everest
==================================
ila mwenye birthday wiki mbili zijazo ni huyo ahjumma mtarajiwa wa juu hapo mwenye avatar ya ndege.
wengine tarehe zetu halisi za kuzaliwa hatuzijui (huenda tumezaliwa siku ambayo kuku wa nyama walitaga mayai )
 

Mi Nishamjibu.Nimepokea Dua Yake.

Natamani Sana.
 
Iyo Avatar Lol!
 
Nimecheka sana huishi vituko undelee kuwa mcheshi hivyo hivyo mpaka uzeeni, halafu nikiwa kama dada yako nakuonya kunizeeshea mdogo wangu Amina ukirudia tenaπŸΉπŸ’‰....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…