thanks brother kwa hii zawadi,Kuna series inaitwa kill me,heal me ni noma ni ya 2019 inahusu jamaa mmoja ambaye ana tatizo la kuingiliwa na nafsi mbaya
Yah upo sahihi ni ya 2015 ile we jamaa sikuwezi unafuatilia sana series za kikorea.thanks brother kwa hii zawadi,
hiyo drama sijawahi kuiangalia japokuwa niliwahi kuwa nayo completed, halafu ni project ya mwaka 2015 na si 2019 kama ulivyowasilisha hapo juu.
ji sung kwa mwaka huu wa 2019 ameigiza drama inayoitwa DR JOHN
ila jamaa sikuwezi unafuatilia sana mechi za simba, chelsea pamoja na ishu zote zinazomuhusu diamond platinamu.Yah upo sahihi ni ya 2015 ile we jamaa sikuwezi unafuatilia sana series za kikorea.
Naona ulikuwa unanichunguza aah aahila jamaa sikuwezi unafuatilia sana mechi za simba, chelsea pamoja na ishu zote zinazomuhusu diamond platinamu.
teh teh teh natumai hujachukia kama mimi nilivyoupokea ujumbe wako
hivi ulifikiri hii siku nitaisahau?trh.24
Mhhhhh!
Mai Chingu.🙏hivi ulifikiri hii siku nitaisahau?
heri ya kuzaliwa iwe juu yako na natumai hukunidanganya kwa njia ya keyboard kwa sababu sidhani kama una tabia hiyo ya kuongopa,
Asubuhi nilipoamka jambo kwanza nililiangalia jua llililokuwa linajiandaa kuchomoza kwa dhumuni la kuiangaza dunia na vilivyomo ndani yake, nikabaki najisemea huenda yule binti aliyezaliwa tarehe kama ya leo miaka telee iliopita hata wazazi wake walikuwa na ndoto ya kumuona binti yao pindi atakapopevuka awe na uwezo wa kuiangaza dunia yake na wenzake kwa kutumia kifikra zake zitakazoongozwa zaidi na utulivu wa nafsi iliojaa furaha ndani yake.
kama mpaka leo umeshindwa kuiangaza dunia yako unaonaje ukaianza siku ya leo kwa kufikiria zaidi yajayo kuliko matukio yale yote yaliopita yaliokufanya ushindwe kuing'arisha dunia kwa mikono yako miwili, kama aliweza Oprah Winfrey aliyekuwa na historia mbovu pengine kuliko wewe kwa nini iwe vigumu kiupande wako?
unadhani Mungu anakuchukia?
unadhani Mungu amekupangia uwe hivyo maisha yako yote?
unadhani Mungu amekupangia uteswe na wajinga wajinga kama daemusin kihisia?
hapana hapana sitaki kuamini hivyo kwa sababu Mungu hana wivu wa kijinga jinga na roho mbaya ya mafanikio kama aliyonayo daemusin.
tafadhali anza upya kuanzia leo naamini kwa nguvu na uwezo wakebwana Mungu hatakupuuza.
hizi zawadi ninazokutumia usije ukazivamia zote kwa siku kama mfungwa aliyelazwa na njaa kwa wiki nzima, kufanya hivyo utalipelekea tumbo lako liwe kubwa kama pipa la lami.
🍏🍎🍐🍊🍋🍌🍉🍇🍓🍈🥦🥑🍅🍅🥝🥥🍍🥭🍑🍒🥬🥒🌶🥕🥐🥖🍞🍟🍔🌭🍤🥙🌮🌯🥗🍚
japokuwa ulimtuma dada yako Prishaz aje anirushie kichambo na vitisho juu siku ile kama mwanamume niliyefumaniwa na mbuzi meee kwa sababu dhaifu ya kukuita ahjummaaa naomba ufahamu ya kwamba mjinga mimi sikuchukia lile tendo na kiukweli sitoacha kukuita ahjummaaa mpaka itakapofika siku ya harusi yako na yule niliyemuota usingizini mwenye upara kichwani kama zidane 🏇🏇🏇.
mfikishie taarifa hii yule dada yako aliyekuja na mishale yake kama jumongView attachment 1242797 pamoja na sindano kama daktari wa wanyama View attachment 1242798, mwambie mimi ni mbabe na mtemi nisiyeogopa hata hashuo la kuku mzazi kuliko gogo la muembe 2020.
==============================================
dah! viumbe wengine tuna bahati mbaya kweli utadhani tumezaliwa na bundi, tunapoteza pambano tukiwa kwenye ndoto na hata tukiwa macho.
nimewasilisha zawadi nyengine kwako kwa njia ya burudani, yawezekana haya maneno yananihusu mimi au wewe kwa njia tofauti japokuwa kwa akili ya haraka unaweza kudhani yanamhusu mwanamke pekee aliyemtelekeza jamaa
lee moon sae = Only The Sound Of Her Laughter
huu wimbo ameuimba mnamo mwaka 1987 ikiwa ni album yake ya 4, ina maana hata hicho kibinti hakikuwa na matumaini ya kuzaliwa, pengine wazazi wake walikuwa hawajakutana vichochoroni kama mbuzi.
HAPPY BIRTHDAY aminas
ok, ok mic testDaemusin umeamua kumchamba noona tena kabisa! Kwa leo sitasema sana ila Amina ujue tu niko hapa kupigania haki yako, bado hujafaa kuitwa hilo jina na huyu dogo nitakomaa nae. Happy birthday Amina, leo tusherehekee huyu mpinzani namuweka kiporo🍾🍾🎂
upo sahihi Mungu pekee ndio ajuaye tunayoyapitia kwenye harakati zetu za kila siku za maisha, ni jambo la furaha zaidi kujikuta tunakutana kwa pamoja maeneo kama haya na kuchati pamoja jambo linalopelekea kwa pamoja tuyasahau yale yote mabaya tunayokumbana nayo japokuwa ni kwa muda mfupi.Mai Chingu.🙏
Mungu tu Anajua.
Ahsante Na Shukalni Sana Sana Kwa Wishes Hizi.
Mola Wangu Azidi kukubariki Mpendwa Wangu Mara Dufu.
Nimeongeza Mwaka Mwengine tena Leo Wala Sijakuongopea.
Song Triplets Suit Up To Support Song Il Gook As He Becomes Honorary Ambassador For ChildFund Korea
October 25, kampuni ya C-JeS Entertainment’s kupitia official Instagram account waliweka picha zinazoonyesha familia ya song il kook na watoto wake watatu wakiwa pamoja.
mbele ya picha pakiandikwa maneno yafuatayo:
song il kook, malaika wa watoto ameteuliwa kuwa balozi wa ChildFund Korea, ni jambo la heshima kuwa sehemu muhimu kama hii, tutaendelea kufanya kazi kwa bidii kwa lengo la kuwasaidia watoto wote dunia kuishi kwa furaha.
sherehe hizo zilifanyika oktoba 24.
song il kook amejizolea umaarufu mkubwa sana duniani baada ya kushiriki kwake variety show inayoitwa return of superman pamoja na watoto wake kuanzia mwaka 2014 hadi mwaka 2016.
View attachment 1244267
View attachment 1244268
tuna mpango wa kujiingiza kwenye ulingo wa siasa bibieeee kama walivyo our ancestors.What a good news? [emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️
Nafurahi kumuona Oppa Bae akipata offers kama hizi.
Huyu siku akija na drama mpya atanipa wazimu, nitakuwa silali kabla sijaangalia episode mpya tena na vile wanawekaga bila episode ikiwa ya moto nitakoma!
Ahsante Sana.Daemusin umeamua kumchamba noona tena kabisa! Kwa leo sitasema sana ila Amina ujue tu niko hapa kupigania haki yako, bado hujafaa kuitwa hilo jina na huyu dogo nitakomaa nae. Happy birthday Amina, leo tusherehekee huyu mpinzani namuweka kiporo🍾🍾🎂
Yaani Kiukweli Hii ni Drama Nzuri Sana Ila Inanichanganya Ninapoifananisha Na Six Flying DragonsSoo-young and Director Kim Hong-sun revealed more details about the upcoming OCN series "Say what you saw" at the Talk Session held at S Factory in Seongdong-gu, Seoul on the afternoon of the 25th Oct 2019.
In the drama, Sooyoung will be playing the role of a female detective, a character with the unique ability of photographic memory. She'll be teaming up with an eccentric genius profiler to hunt down a serial killer who was believed to be dead.
In 'Say what you saw', Jang Hyuk plays the cold-hearted genius profiler. Kim Hong-sun said
,
"I must bring in Jang Hyuk . In his previous film 'Voice.', he used more of his body and actions. But in the new drama, he is the genius profiler. You'll be able to see something different."
.
Soo Young said that acting with Jang Hyuk is her dream. She said "He is a senior whom I wanted to act with if I had a chance.So this is really my good fortune and honour to do so through this drama." Kim Hong-sun has made a number of hits since the beginning of OCN.
When asked why he cast Jang Hyuk, Suyoung, and Jin Seo-yeon, he said,
"In fact, Jang Hyuk must come here." Kim Hong-sun praised, "Jang Hyuk is an actor who puts in a lot of effort and does a lot of research."
.
'Say what you saw' is confirmed by Choi Soo-young, Jang Hyuk and Jin Seo-yeon, and will be aired in the first half of 2020.
================================================
nampenda sana huyu jamaa kwa sababu ni muigizaji ambaye muda wowote yupo tayari kuwapa furaha mashabiki wake bila ya kuangalia ubora wa roles atakayoigiza, hajali kama ataigiza second lead actor kama ilivyokuwa kwenye wok of love drama na pia hajali chochote hata kama ataigiza third lead actor kama ilivyo ndani ya my country drama, jambo pekee analoliwaza kwenye ubongo wake ni kazi tu
japokuwa jamaa si romantic sana kama walivyo waigizaji wengine lakini ana uwezo wa kupotrays uhusika wowote kwa usahihi ndani ya drama au movies, kwa mtazamo ukimuondoa jang hyuk sijapata kumuona muigizaji mwengine mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake zaidi ya lee joon gi.
heshima kwake huyu jamaa pamoja na familia yake.
bila ya kusahau kicheko chake mhhhhhahahahaaaaaaa..........auraaaaa
tukutane usiku na my country drama
View attachment 1244383
Yaani Kiukweli Hii ni Drama Nzuri Sana Ila Inanichanganya Ninapoifananisha Na Six Flying Dragons
Yaani Naona Waigizaji Wake Wananichaganya Inabidi Nigoogle Kila Muda.
Ila Hii Drama Inaelezea Maisha ya Yi Bang Won Zaidi Ama!?nafikiri ni characters hao tu ndio unaweza kuwaona ndani ya six flying dragons drama.
- yi seong gye
- yi bang won
- queen sindeok na watoto wake wawili akiwemo (yi bang seok)
director pamoja na muandishi wameinyonga mapema love triangle.
inawahusu zaidi vijana wawili waliojijengea urafiki wa shida na raha tokea udogoni mwao, bahati mbaya sana mitazamo tofauti ya kisiasa ikapelekea kusambaratika kwa urafiki wao.Ila Hii Drama Inaelezea Maisha ya Yi Bang Won Zaidi Ama!?
Yaani Dhamira Yake Kubwa!?
Zote hizo kwa wakati mmoja???Njooni tushee japo kidogo kwa hicho kilichowatia busy.
Mfano miye, WANG GUN ep.134, SOLDIER (god of war) ep.37 , Memorial of Imjin War( Jingbirog) ep.38
Nina wiki mbilii zimesalia kabla ya kuanza kuwa busy kwahiyo Huu muda wacha niutumie vizuri, najua nikishaanza kuwa busy huenda kwa wiki nikatazama ep. 3 - 5.Zote hizo kwa wakati mmoja???
Siwezagi aiseeee