Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahaaha

Basi enzi hizo kuna kipofu alipata muujiza akafunguliwa macho kwa sekunde kitu cha kwanza kukiona ilikua mnyama punda. Akarudia hali yake ya upofu,kila akiambiwa kitu lazima afananishe na punda. Mfano kuna mtu alikua anasifia twiga mzuri,jamaa akauliza mzuri kumzidi punda?yule ng'ombe mnene yeye anauliza kumzidi punda?

Ndo hali uliyonayo mkuu
Hiyo na the empress ki ipi kali?
 
teh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
Heee msituchanganyie habari, ukitaka kuchamba huku mchambe Song Hye Kyo, Song Jong Ki, Lee Min Ho and the like
 
teh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
Emotions distort our views. Hahahahhaa Mahaba ni upofu tosha.
 
Hehehehe kabisaa upinzani utadumu. Hawezi kubadilika keshakunywa maji ya bendera ya wasafi
teh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
 
teh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
Kwani Kuna kosa kumshabikia mondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…