Bidada kumbe na wewe umeiona.Soon atakwambia umuelezee kidogo[emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidada kumbe na wewe umeiona.Soon atakwambia umuelezee kidogo[emoji2][emoji2]
Hiyo na the empress ki ipi kali?
Bidada kumbe na wewe umeiona.
Iko poa sana hyoHahahaaa kama mm kilichonikuta kwenye siriz ya Lost najuta...
Nina Goodbye Mr Black hivi ni nzuri au itanipotezea muda tu?
Kwenye kibaridi Kama hiki kwanini tusifanye namna we unaonaje?Nimeiweka pending mpaka iishe
😎😎😎😎Soon atakwambia umuelezee kidogo[emoji2][emoji2]
Kwenye kibaridi Kama hiki kwanini tusifanye namna we unaonaje?
Kumbe ukai dar ila unakosa utamu wa dar kipindi kama hiki.Burigi joto kama lote. Sio kila mtu anaishi dar
Kumbe ukai dar ila unakosa utamu wa dar kipindi kama hiki.
anataka uhamie dar ili umsaidie kushabikia wasafiNilipo panafaa kuliko huko dar
anataka uhamie dar ili umsaidie kushabikia wasafi
teh tehUwiiiii hio kazi siiwezi[emoji23][emoji23]
Heee msituchanganyie habari, ukitaka kuchamba huku mchambe Song Hye Kyo, Song Jong Ki, Lee Min Ho and the liketeh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
🤣🤣🤣 Mpuuzi ushaanza Mambo yako.anataka uhamie dar ili umsaidie kushabikia wasafi
Emotions distort our views. Hahahahhaa Mahaba ni upofu tosha.teh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
teh teh

Kwani Kuna kosa kumshabikia mondi.teh teh
ina maana upinzani wenu utaendelea milele.
jamaa kila kinachomuhusu au anachokifanya diamond na timu yake kwake yeye ni almasi hata kama ni jambo la ovyo.
nikisoma baadhi ya comment zake hubaki na mshangao nafsini mwangu.
i hope atabadilika
Hapa tumezungumza Mimi na wewe hayo mambo ya wasafi yamekujajeHehehehe kabisaa upinzani utadumu. Hawezi kubadilika keshakunywa maji ya bebdera ya wasafi