Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hiyo Empress Chun chu ni noma sana.
 
So sad,nakumbuka vituko vyake kwenye City Hunter kama binti wa rais
 
Peke nipende kupeleka salamu zangu za dhati kwako daemusin ule ulevi ulionipa nimeumamliza kwa kweli ni kuhakikishie tu kuwa sijaona handsome kama ulivyo ni taadharisha hapo mwanzo i!!ramsi age of warrior imekwosha..asante japokuwa ilikuwa safari ya siku 68 miezi miwili na siku 6 ...ramsi naomba ulevi mwingine
 
Emperor wang gun na God of war ipi nianze nayo wadu au kama kuna nyingine ya moto naombeni niko link arosto sana
endelea kulewa mpaka viti ya bar vivunjikeee

top 6 masterpiece ukiondoa hizo ulizoziangalia japokuwa sifahamu 😎😎.
 
Ha ha ha asante sana ubarikiwa mno!! Haoa naona umenipa bando la mwaka siruki tu,naweka chuoa baada ya chupa mpaka muda wa makonda ufike hii ndo inaitwa baba lao ......full dose
 
Emperor wang gun na God of war ipi nianze nayo wadu au kama kuna nyingine ya moto naombeni niko link arosto sana
Hahaha Emperor Wang Gun niliianza mwezi 6 mpaka sasa sijamaliza(episode 153/200) Age Of Warriors yenye episode almost 158 imekupeleka siku hizo zote. Kiukweli Daemusin anataka kukuua na hizo pombe.
 
Hahaha Emperor Wang Gun niliianza mwezi 6 mpaka sasa sijamaliza(episode 153/200) Age Of Warriors yenye episode almost 158 imekupeleka siku hizo zote. Kiukweli Daemusin anataka kukuua na hizo pombe.
Doooo ha ha umenikimbiza huo ulevi nitaanza nao mwanzo wa mwaka ,ngoja nianze na God of war maan huyo emperor wangu ni kilevi cha levels baby
 
Aisee!

Hii taarifa ime-Trend sana katika vyombo vya habari Duniani sababu pia kutokana na mfululizo wa matukio kama haya kuendelea kushamiri nchini Korea Kusini hususani kwa watu maarufu katika tasnia ya burudani.

Ni jambo la kusikitisha sana.

My Condolences!
 
Doooo ha ha umenikimbiza huo ulevi nitaanza nao mwanzo wa mwaka ,ngoja nianze na God of war maan huyo emperor wangu ni kilevi cha levels baby
Age of Warriors nimeikweka Pembeni kwa muda mpaka nimalize Wang Gun.
Age of Warriors nimeishia sehemu ya 7 so mpaka nimalizane na Taejo Wang Gun.

SOLDIER - GOD OF WAR nimwendelezo wa AGE OF WARRIORS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…