D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Eeeh Mungu,oh my god
nitachoka kutoa rambi rambi kama bwana yule
huu mwaka ni ubora umalize tena
natamani taarifa ya uchunguzi isema hakujitoa uhai wake kama wengineo.
nilimpenda sana uhusika wake kwenye the banker, alikuwa ni double agent
yaani hapa nimekusudia niiangalie Love with Flaws drama ndio nakutana na habari mbaya kama hii
========================================
Actor Cha In Ha Passes Away + Agency Releases Official Statement
The police stated that the actor was found dead at his home on December 3, and the cause of death is currently being investigated
Born in 1992, Cha In Ha debuted in 2017 through the short film “You, Deep Inside of Me” and was a member of Fantagio’s second actor group SURPRISE U. He starred in the web drama “Miss Independent Jieun 2” and television dramas including “Degree of Love,” “Wok of Love,” “Are You Human, Too?,” “Clean with Passion for Now,” and “The Banker.” His newest drama “Love with Flaws” premiered on November 27.
Wakati Wa Msiba wa Goo Hara Kuna Page Niliipitia Ikawa Inasema Tuombee Isitokee Msiba Mwengine Wa Msanii Kwani Anahisi Bado Kuna Vifo Kabla ya Mwaka Kuisha.oh my god
nitachoka kutoa rambi rambi kama bwana yule
huu mwaka ni ubora umalize tena
natamani taarifa ya uchunguzi isema hakujitoa uhai wake kama wengineo.
nilimpenda sana uhusika wake kwenye the banker, alikuwa ni double agent
yaani hapa nimekusudia niiangalie Love with Flaws drama ndio nakutana na habari mbaya kama hii
========================================
Actor Cha In Ha Passes Away + Agency Releases Official Statement
The police stated that the actor was found dead at his home on December 3, and the cause of death is currently being investigated
Born in 1992, Cha In Ha debuted in 2017 through the short film “You, Deep Inside of Me” and was a member of Fantagio’s second actor group SURPRISE U. He starred in the web drama “Miss Independent Jieun 2” and television dramas including “Degree of Love,” “Wok of Love,” “Are You Human, Too?,” “Clean with Passion for Now,” and “The Banker.” His newest drama “Love with Flaws” premiered on November 27.
Namkubalia sana huyu dada.Jun Ji Hyun To Appear In “Kingdom” Season 2 + Netflix Addresses Potential Season 3
Jun Ji Hyun’s appearance in “Kingdom” season two was kept a secret even within Netflix’s production team. Jun Ji Hyun’s parts were reportedly filmed separately after the completion of the other cast members’ scenes.
According to Sports Chosun, Jun Ji Hyun will appear in the finale of season two and then as a key character in the rumored third season of “Kingdom.”
A source from Netflix also shared, “The production of ‘Kingdom’ season three has not been confirmed yet.”
“Kingdom” will be Jun Ji Hyun’s first drama appearance in four years and her first attempt at a sageuk drama.
View attachment 1277191
Dah!oh my god
nitachoka kutoa rambi rambi kama bwana yule
huu mwaka ni ubora umalize tena
natamani taarifa ya uchunguzi isema hakujitoa uhai wake kama wengineo.
nilimpenda sana uhusika wake kwenye the banker, alikuwa ni double agent
yaani hapa nimekusudia niiangalie Love with Flaws drama ndio nakutana na habari mbaya kama hii
========================================
Actor Cha In Ha Passes Away + Agency Releases Official Statement
The police stated that the actor was found dead at his home on December 3, and the cause of death is currently being investigated
Born in 1992, Cha In Ha debuted in 2017 through the short film “You, Deep Inside of Me” and was a member of Fantagio’s second actor group SURPRISE U. He starred in the web drama “Miss Independent Jieun 2” and television dramas including “Degree of Love,” “Wok of Love,” “Are You Human, Too?,” “Clean with Passion for Now,” and “The Banker.” His newest drama “Love with Flaws” premiered on November 27.
huu mwaka bora umalizikeDah!
My Deepest Condolences kwa wadau wote wa Tasnia ya Burudani nchini Korea Kusini na Ulimwenguni kwa ujumla.
Sina la kusema zaidi.
Yuko vizuri katika viwango vya kimataifa. Hahaha!Namkubalia sana huyu dada.
movies za kikorea zinanishinda kuziangalia labda kwa kuwa nimeshazoea kuangalia mtiririko drama usiokwisha kwa masaa mawiliYuko vizuri katika viwango vya kimataifa. Hahaha!
Alifanya vizuri sana katika My Love From the Star pamoja na The Legend of the Blue Sea bila kusahau Movie moja hivi aliyoigiza kama mapacha ijulikanayo kama Assassination.
It's too much, kiukweli.huu mwaka bora umalizike
ndani ya miezi miwili tumeshahudia vifo vya watu watatu vyenye kufanana
cha kusikitisha serikali kuu inaendelea kukaa kimya.It's too much, kiukweli.
Yah! Mara nyingi Movies za Kikorea zinakuwa na watazamaji wachache kutokana na wengi ku-Base katika Drama.movies za kikorea zinanishinda kuziangalia labda kwa kuwa nimeshazoea kuangalia mtiririko drama usiokwisha kwa masaa mawili
itabidi nianzishe kampeni ya kuangalia movies kwa lazima.Yah! Mara nyingi Movies za Kikorea zinakuwa na watazamaji wachache kutokana na wengi ku-Base katika Drama.
Ila zipo Movies ambazo kwa kiasi kikubwa ni nzuri na zenye ubora mzuri ukizitazama. Mara moja moja si mbaya!
Yawezekana kuna mengi yaliyojificha.cha kusikitisha serikali kuu inaendelea kukaa kimya.
nina wasiwasi hawa wasanii wanateseka sana na ishu za kimaslahi yao binafsi na hawana sehemu ya kulalamika.
hivi unajitoaje uhai bila ya msingi wakati muda wote unaonekana unatabasamu?
hicho ndio kinachonishangaza mimiAisee! Mtu ana-Post mtandaoni "Good night" alafu kesho yake ghafla hayupo tena duniani.
Inafikirisha na kushangaza sana.
Inaonekana ni nzuri kutokana na Recommendations mbalimbali huko mitandaoni.itabidi nianzishe kampeni ya kuangalia movies kwa lazima.
nataka nianze na hii siku yoyote
Parasite had its world premiere at the 2019 Cannes Film Festival on 21 May 2019, where it became the first Korean film to win the Palme d'Or, and the first film to do so with a unanimous vote since 2013's Blue Is the Warmest Colour. It was selected as the South Korean entry for Best International Feature Film at the 92nd Academy Awards, Bong's second selection after 2009's Mother.
The film was released in South Korea by CJ Entertainment on 30 May 2019, and in the rest of the world by Neon in late-2019. It received widespread critical praise and has grossed $123 million worldwide, becoming Bong's highest-grossing release; it is currently the nineteenth highest-grossing domestic film in South Korea history.It was chosen by Time magazine as one of the ten best films of the year.
Yuko vizuri katika viwango vya kimataifa. Hahaha!
Alifanya vizuri sana katika My Love From the Star pamoja na The Legend of the Blue Sea bila kusahau Movie moja hivi aliyoigiza kama mapacha ijulikanayo kama Assassination.
Hata mie naona uvivu kweli kuangalia movie zao hata nikiangalia huwa napendelea za action ndio naona kunakuwa na kitu tofauti kidogo na kwenye drama.movies za kikorea zinanishinda kuziangalia labda kwa kuwa nimeshazoea kuangalia mtiririko drama usiokwisha kwa masaa mawili