Hamna.wachepukaji tuna sura maalumu?
ep 13 sijaingalia..Lol! Yule Mkimya Na Mpole Vile.
Kumbe Nawe Mchepukaji!! Hongera.wachepukaji tuna sura maalumu?
yes kuna mission nyengine unatakiwa uzitekeleze kimya kimya...Hamna.
Kuna Scene Jang Nara Alikua Anaongea Na Yule Mdada Ambaye Si Wa Ofisi Yao Then Kuna Mfanyakazi Mwenzao Akapita Akawa Anampa Umbeya Kuwa Yule Kafumaniwa Nara Akawa Anashangaa Nakusema Mbona Ni Mkimya Sana Yule Dada Akamjibu Wakimya Ndo Mabingwa.
wanaume hatuchepuki bali tunajipumzisha pande nyengine kwa mudaKumbe Nawe Mchepukaji!! Hongera.
Hahahaha Kabint Special.ep 13 sijaingalia..
sidhani kama mume wake jang nara amewahi kutembea na yule binti kwa sababu mapenzi yao inaonekana yalikuwa ni ya upande mmoja.....
hasira za kuvunjika mahusiano ndio zilimfanya kabinti speial atume message kwa jang nara akitegemea wawili hao wataachana...
Hamchepukii!????wanaume hatuchepuki bali tunajipumzisha pande nyengine kwa muda
Naingia Episode Ya 11.ep 13 sijaingalia..
sidhani kama mume wake jang nara amewahi kutembea na yule binti kwa sababu mapenzi yao inaonekana yalikuwa ni ya upande mmoja.....
hasira za kuvunjika mahusiano ndio zilimfanya kabinti speial atume message kwa jang nara akitegemea wawili hao wataachana...
nitakuwa siweki tena recommendation ili upate adhabu ya kujitakiaNaingia Episode Ya 11.
Hi Drama Nilikua Naizarau. Ni Maisha Ya Kweli Kwa Ndoa Nyingi Wanayopitia
Ni Bonge La Drama.
Nimeiona Hii Taarifa Leo Soompi.Lee Sang Yoon says he's receiving a ton of hate for 'VIP' drama character
On the December 18th live stream 'To You Who Took the Trouble', Lee Sang Yoon commented on the popularity of 'VIP' and the hate he's receiving for playing the part of a cheating and conniving husband. He said,
I have never in my entire life been insulted so much. I expected it, but it exceeded my expectations. A lot of people came into the chatroom to curse me, and over 10,000 people have come in. Because people are getting sucked into the drama, I'm being cursed out a lot."
His co-star Shin Jae Ha then commented, "Hyung said that the more his character Park Sung Joon is cursed at, the better the drama is doing, and it's doing well."
Lee Sang Yoon added, "It's doing extremely well. I'm being criticized from across the globe. If being hated on is succeeding, it's really succeeding."
View attachment 1296497
Uendelee Ivyi Ivyi Chinguya Wangu Wa Pekee. Usije Sitisha Hii Huduma.nitakuwa siweki tena recommendation ili upate adhabu ya kujitakia
mambo ya sanaa yaishie kwenye sanaa.... si jambo sahihi hata kidogo kuyaweka sehemu moja maisha yake ya sanaa na maisha yake halisi...Nimeiona Hii Taarifa Leo Soompi.
Yaani Kiukweli Uhusika Wake Unaleta Hasira Sana.
Ni Kweli Na Watazamji Si Wote Watakao Ridhia Kua Yale Ni Maigizo.mambo ya sanaa yaishie kwenye sanaa.... si jambo sahihi hata kidogo kuyaweka sehemu moja maisha yake ya sanaa na maisha yake halisi...
Hujaifuta!?ebwana imekuwaje
mbona taarifa yangu ya ashfal movie imepotea kimazingara?
natumai hatazichukulia serious comment zote mbovu kutoka kwa mashabiki wajinga na wapumbavuNi Kweli Na Watazamji Si Wote Watakao Ridhia Kua Yale Ni Maigizo.
Na Inaonekana Hii Ndo Tabia Kubwa Ya Wakorea Na Ndo Inayowapa Wasanii Wengi Msongo.
sikumbuki kuifutaHujaifuta!?
Hawa Mods Naona Wameanza Linyemelea Hili Jukwaa.
Wanataka Wasanii Wao Wawe Wanavyotaka. Wanasahau Nao Ni Binaadam Kama Wao.natumai hatazichukulia serious comment zote mbovu kutoka kwa mashabiki wajinga na wapumbavu