Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Dong Yi Ni Bora Sababu Ndo Niloiangalia.

Jewel Nakosa Site Ya Kuiangalia.

Ila Ni Zinazungumzia Kitu Kimoja??
 
jumla ya drama 92 zimeonyeshwa mwaka huu ukiongezea drama mbili za mwisho wa mwaka zilizoanza mwanzoni mwa wiki hii (black dog na diary of prosecutor).

mwaka 2018 niliangalia project takribani 50 za wakorea ila mwaka huu nimepunguza dozi (going on drama kuzifuatilia zina faida na pia zina hasara nyingi sana)

kwenye hizo drama 92 zilizoonyeshwa mwaka huu na vituo takribani 9 nimeangalia project zifuatazo.
  1. Doctor Prisoner drama = KBS
  2. Angel’s Last Mission: Love drama = KBS
  3. When The Camellia Blooms drama = KBS
  4. The Tale Of Nokdu (historical drama) = KBS
  5. 9.9 Billion Woman drama = bado inaendelea kupitia KBS
  6. Item drama = MBC
  7. The Banker drama = MBC
  8. Different Dreams drama = MBC
  9. One Spring Night drama = MBC
  10. Extraordinary You drama = MBC
  11. Haechi drama = SBS
  12. The Fiery Priest drama =SBS
  13. Nokdu Flower drama = SBS
  14. Doctor John drama =SBS
  15. Secret Boutique drama = SBS
  16. Vagabond drama =SBS
  17. VIP drama = SBS
  18. Stove League drama = bado inaendelea kupitia SBS
  19. The Wind Blows drama = jtbc
  20. My Country: The New Age = jtbc
  21. Chocolate = bado inaendelea kupitia jtbc
  22. diary of prosecutor = bado inaendelea kupitia jtbc
  23. Romance Is A Bonus Book = tvN
  24. Touch Your Heart = tvN
  25. Arthdal Chronicles = tvN
  26. Designated Survivor: 60 Days = tvN
  27. Hotel del Luna = tvN
  28. When The Devil Calls Your Name = tvN
  29. Melting Me Softly = tvN
  30. Crash Landing On You = bado inaendelea kupitia tvN
  31. Black Dog = bado inaendelea kupitia tvN
  32. Graceful Family = MBN

dramas za miaka iliopita nilizobahatika kuziangalia kwa mwaka huu
  1. horse doctor (historical) = ni drama ya mwaka 2012
  2. beautiful mind drama (medical) = ni drama ya mwaka 2016
  3. brain drama (medical) = hii nimeitafuta usiku wa leo, I hope nitaiangalia
JUMLA = DRAMA 35.

usijaribu kunywa kama samaki ikiwa kichwa chako ni chepesi...
usijaribu ikiwa unaogopa maisha.......
 
Shin Ha Kyun And Jung So Min Confirmed To Lead New Medical Drama
The drama is set to air in the first half of 2020 and will tell the story of psychiatrists and their patients. Through various stories, the drama aims to ask, “Where does happiness come from?” and share a heartwarming message of comfort with viewers.

Shin Ha Kyun will take on the role of Lee Si Joon, a psychiatrist at a general hospital who says his favorite thing in the world and the thing he’s best at is treating his patients. He is a doctor who is willing to do whatever it takes to help his patients. Anticipation is rising as Shin Ha Kyun worked with producing director (PD) Yoo Hyun Ki on the hit 2011 drama “Brain” that won him the Daesang [Grand Prize] at the KBS Drama Awards, so they are expected to create another legendary drama

Joining Shin Ha Kyun is Jung So Min playing Han Woo Joo, a rising musical actress. She is someone who is like fire and water, having a strong sense of justice and also being passionate about what she likes and trying to find her true self.

Soul Repairer” is set to premiere in the first half of 2020 on KBS 2TV.
 
Mkuu unastahili tuzo aisee...
 
😂😂😂 Haya Daemusin niambie vipi kama hawa vijana ndio wamepewa project ya "AGE OF WARRIORS" wangeitendea haki? au ndio wangekuwa wanatafuta Poda na Make-up kwanza. Kwa taarifa yako Hii drama ya " HWARANG" ndio Drama yenye Mahendisamu( "Warembo wa Kiume") wengi kuliko zote nilizowahi kuziona. Halafu "AGE OF WARRIORS" Ndio Drama yenye majitu ya kutisha na makatili kuliko zote nilizowahi kuziona.
 
unakutana na vijanadume visafiiiiii kama wema sepetu wa mwaka 2012.
 
kutoka December 20, 1976 hadi December 20, 2019 ni takribani miaka 43 imetimia tokea kuzaliwa kwa Jung Yong-Joon a.k.a Jang Hyuk...
umeangalia project ngapi za huyu jamaa (mzee wa back to back)?
kiupande wangu nimeangalia project hizi:
  1. slave hunter
  2. iris 2
  3. the merchant gaekju
  4. tree with deep roots
  5. money flower
  6. beautiful mind
  7. my country
  8. bad papa
  9. wok of love
  10. voice
  11. fated to love you
  12. shine or go crazy
project yake ya mwaka 2020 inaitwa tell me what you saw.
 
Happy birthday to him.......


Nimeangalia 1, 2, 4 na 12...........
 
Kwa hii list nimeangalia nane
 
11 kama nikiongeza na brain kwenye orodha. Daebak.
 
Nimeipenda Smile.
 
Hongera. Mi Apo ni Drama 13 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…