Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

si wanasema ndege wanao fanana huruka mti mmoja
kumbe hufai kuwa rafiki yangu.
hatuendani
hatulingani

rasmi nimevunja urafiki na mvivu wa kuangalia drama......
Jamanii.

We Ni Chinguya Wangu Hizi Drama Zimekua Kiunganishi Tu.

Huu Mwaka Kiukweli Nimekua Mvivu Sana Kuunywa Huu Urabu.

InshaAllah Nitajitahid Nikukimbize Hili Tufanane Kabla Mwaka Kuisha.
 
Jamanii.

We Ni Chinguya Wangu Hizi Drama Zimekua Kiunganishi Tu.

Huu Mwaka Kiukweli Nimekua Mvivu Sana Kuunywa Huu Urabu.

InshaAllah Nitajitahid Nikukimbize Hili Tufanane Kabla Mwaka Kuisha.
aaaahhh! wapi?
zimebaki siku kumi na moja tumalize mwaka
utaweza kweli kuangalia drama 20 kwa siku hizo...
you are not my chingu
unaye mwengine anayekufanya uwe mvivu.
 
Hahahahahahahaha.

Wala Mambo Mengi Tu.
yes, binadamu hatufanani kimajukumu...
wengine wanafanya kazi masaa 12
wengine ni kula kulala
wengine mama cha kwangu nikafunue wapi
wengine hupati chakula kama hujakitafuta

ili mradi maisha yetu ya kidunia yamezungumzwa na mitihani kwa kila upande
 
yes, binadamu hatufanani kimajukumu...
wengine wanafanya kazi masaa 12
wengine ni kula kulala
wengine mama cha kwangu nikafunue wapi
wengine hupati chakula kama hujakitafuta

ili mradi maisha yetu ya kidunia yamezungumzwa na mitihani kwa kila upande
Kamshmnida Kwa Kunielewa.
 
JUMLA = DRAMA 35.
😁😁 Hatuchekani sana, maana kwenye listi yangu ya Drama 16 zenye Episode kama milioni moja imeongezeka "PRINCESS MAN" ambayo ni fupi kwelikweli( 24).
Utakuta mtu anaangalia Drama ya Ep. 60 ana lalama, kwani siye tunaoifuatilia WANG GUN ep. 200 na AGE OF WARRIORS ep. 158. Sio watu? au ndio vichwa vimetofautia linapokuja suala la kuimudu pombe na Bange.
 
wazee wa age of warriors munaonekana ni joblessπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 

Telegram Hiyo ndio channel yetu kama haujajiunga link ndio hiyo.
Kule kuna drama nyingi, pia kama una project nyingi za kikorea si vibaya ukasema ili upewe u- admin ili utupie Vitu.
"SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO, KWA MAELEZO ZAIDI ENDELEA KUVUTA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…