Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Jamanii.si wanasema ndege wanao fanana huruka mti mmoja
kumbe hufai kuwa rafiki yangu.
hatuendani
hatulingani
rasmi nimevunja urafiki na mvivu wa kuangalia drama......
We Ni Chinguya Wangu Hizi Drama Zimekua Kiunganishi Tu.
Huu Mwaka Kiukweli Nimekua Mvivu Sana Kuunywa Huu Urabu.
InshaAllah Nitajitahid Nikukimbize Hili Tufanane Kabla Mwaka Kuisha.