Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Kim Yeong Chol huyu mzee ni Kiboko Katika Drama zote nilizowahi kumuona ni mkatili, Hasa ukimkuta kwenye Historical Drama.
1. EMPEROR WANG GUN;
Alikuwa Dictactor namba moja KING GUNG YE OF GORYEO/ TAEBONG aliuwa watu wengi kinoma mpaka akamchoma Mkewe na Wanawe.

2. GREAT KING SEJONG & JANG YEONG SIL;
Alikuwa Dictactor KING TAEJONG OF JOSEON/ YI DINASTY Aliwaangamiza Ndugu zake na Wapinzani wake.

3. PRINCESS' MAN Alikuwa ni GRAND PRINCE alimuua mwipwa Wake na Kuichukua Nchi

4. Kwenye IRIS, alikuwa ndio Adui namba moja.

Si mchezo!.
 
Master Plan mmoja mzuri, nilimuelewa sana kwenye IRIS 1 ñ 2
 
Naomba kujua the best one nami nizitzame.hapo nnimetazama
1. My country.the new age
2.arthdal
3. Doctor prisoner
4 the tale of nokdu
5. Vagabond
6. Hotel de luna
7.haechi
 
Anauvaa uhuusika haswa kama marehemu Amrish Puri, nilimpenda kwenye IRIS.
 
Naomba kujua the best one nami nizitzame.hapo nnimetazama
1. My country.the new age
2.arthdal
3. Doctor prisoner
4 the tale of nokdu
5. Vagabond
6. Hotel de luna
7.haechi
my top 10 drama kwa mwaka 2019 ukiondoa hizo ulizoangalia
  1. When The Camellia Blooms drama
  2. The Fiery Priest drama
  3. One Spring Night drama
  4. VIP drama
  5. Secret Boutique drama
  6. Graceful Family
  7. Nokdu Flower drama
  8. Different Dreams drama
  9. Doctor John drama
  10. Search: www

my top 5 kwa drama zinazoendelea
  1. stove league = sifahamu chochote juu ya mchezo wa baseball lakini hii drama inanifanya niwe addicted.
  2. crash landing on you: love story kati ya wanadamu wawili wenye damu zinazofanana lakini wakatofautishwa kwa sababu ya siasa za kipumbavu (mwanaume kutoka north korea na msichana kutoka south korea)
  3. diary of prosecutor: kama ni mfuatiliaji mzuri wa korean drama popote anapotajwa prosecutor fikra zako moja kwa moja zinakupelekea kwenye ulimwengu ulee wa maisha ya kifahari, sikuwahi kuona drama ambayo uhusika wa prosecutor akawa na maisha ya kawaida sanaa ila ukiangalia hii drama utapata kushuhudia daily life ya hawa maprosecutors wanaoishi kwa kutegemea zaidi mishahara yao ya kila mwezi, kumbe hata maprosecutor nao pia ni wavuvi haramu😀😀😀, wengine ni wachimba chumvi kama huyo bwege kutoka pyongyang.
  4. black dog: siwezi kukusimulia mkasa mzima unaomkumba binti fulani aliyeajiriwa kwenye shule binafsi akiwa kama mwalimu wa muda........... binti aliajiriwa sehemu bila ya kufahamu ya kwamba mjomba wake alimfanyia connection a.k.a nepotism diseaseeeee...... changamoto anazokutana nazo kama ni mzembe kidogo unaweza kuacha kazi.....alah! mtu wenyewe umeajiriwa kwa mkono wa jamaa yako ( uwe na uwezo au kinyume chake wala watu hawajali, wanachohitaji wao ni kukusema vibaya)
  5. woman of 9.9 billion: dhiki zinazotokana na ugumu wa maisha zimetamalaki kwenye uso wako, huna raha na ndoa yako kwa sababu ya vipigo visivyokwisha kwa mume wako, mara paaap siku moja inatokezea ajali ya gari kumbe ndani ya gari unagundua zilikuwepo billioni 9.9 za magufuli countryyyy....... kudadadeki kumbe wenye huo mzigo wa fedha ni wafanya biashara haramu na wanaitafuta fedha yao ........
 
mwaka 2019 nimeishuhudia nguvu ya mwanamke kupitia sanaa ya uigizaji nchini korea kuanzia waandishi wa script hadi waigizaji wakuu
  1. sky castle
  2. When The Camellia Blooms drama
  3. VIP drama
  4. Search: www
  5. One Spring Night drama
  6. Secret Boutique drama
  7. Graceful Family
  8. Rookie Historian Goo Hae-ryung = sijaiangalia
  9. woman of 9.9 billion
  10. black dog
 


Kim Young-Hyun (screenwriter)
Birthdate: 1966

Drama Series
  1. Arthdal Chronicles (tvN / 2019)
  2. Six Flying Dragons (SBS / 2015-2016)
  3. Tree With Deep Roots (SBS / 2011)
  4. Royal Family (MBC / 2011)
  5. The Great Queen Seondeok (MBC / 2009)
  6. H.I.T | Hiteu (MBC / 2007)
  7. Song of the Prince | ballad of Seo Dong drama (SBS / 2005)
  8. A Jewel in the Palace | Dae Jang Geum (MBC / 2003)

wengine tunaweza kutumia herufi ya K.
kula, kulala, kulishwa, kusomeshwa, kukogeshwa, kuendeshwa, kuchokoa meno kwa ujiti wa fyagio la mnazi
 


hong sister (Hong Jung-eun (born 1974) and Hong Mi-ran (born 1977)

  1. Hotel Del Luna (tvN / 2019)
  2. A Korean Odyssey (tvN / 2017)
  3. Warm and Cozy (MBC / 2015)
  4. The Master's Sun | Joogoonui Taeyang (SBS / 2013)
  5. Big (KBS2 / 2012)
  6. The Greatest Love | Choigowei Sarang (MBC / 2011)
  7. My Girlfriend is a Nine-Tailed Fox | Nae Yeochineun Gumiho (KBS2 / 2010)
  8. You're Beautiful | Minamyisinyeoyo (SBS / 2009)
  9. Hong Gil-Dong, The Hero | Kwaedo Honggildong (KB2 / 2008)
 
kim eun seok: screen writer
Birthdate: 1973

Drama Series
  1. The King: Monarch of Eternity | (SBS / 2020)
  2. Mr. Sunshine (tvN / 2018)
  3. Guardian: The Lonely and Great God | (tvN / 2016-2017)
  4. Descendants of the Sun | (KBS2 / 2016)
  5. The Heirs | (SBS / 2013)
  6. Gentleman's Dignity | (SBS / 2012)
  7. Secret Garden (SBS / 2010)
wengine tunaweza kufuga nywele tu
 
Kim Eun Hee: screenwriter
Born: 1972 (age 47 years)

  1. Kingdom Season 2 (Netflix / 2020) *original cartoon & screenplay
  2. Kingdom (Netflix / 2019) *original cartoon & screenplay
  3. Signal (tvN / 2016)
  4. 3 Days | Sseurideizeu (SBS / 2014)
  5. Phantom | Yooryung (SBS / 2012)
  6. Sign (SBS / 2011)

wengine tunaweza kunywa urojo na bakuli la maharage kama mfungwa

 
jungu kuu halikosi ukoko

No Hee-Kyung (screenwriter)
age: 53

  1. Here (TBA / 2020)
  2. Live (tvN / 2018)
  3. The Most Beautiful Goodbye | (tvN / 2017)
  4. Dear My Friends (tvN / 2016)
  5. It's Ok, This is Love | Gwaenchanha, Sarangiya (SBS / 2014)
  6. That Winter, The Wind Blows | (SBS / 2013)
  7. Padam Padam | (JTBC / 2011-2012)
  8. Worlds Within...... | (KBS2 / 2008)
  9. Several Questions That Make Us Happy | (KBS2 / 2007)
  10. Goodbye, Solo | (KBS2 / 2006)
 
Ebu tupe sceen writer wa the empress ki.
 
Basi hao waandishi kwangu me ni Bora Sana na kiukwel wana vichwa vizuri du kumbe Hawa pia wametengeneza incarnation of money na vagabond.Hiyo incarnation of money ni moja Kati ya series niliyoikubali Sana Ina ubunifu mkubwa Sana kwel Hawa waandishi ni genius.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…