Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yaan naanza kuzi
Yaaan nimejikuta nawaza kuzitazama zote,japo siku hizi nimekua mvivu hatari.yaaan nachagua most rated ndo naangalia au za vijijini tu......ila lazima nizitendee haki hizo ulizonitajia

Nashukuru sana
 
Daaaah Basi Yuko vizuri sanaaaaa,naomba niitazame hiyo sita na saba.hapo pa jewel in the palace and six flying dragon nilikuwa nakesha......nawaza inatoka lini sehem ya kulia nalia kwa sauti Kama mfiwa sehem ya kucheka nilikua nacheka mpaka mama yangu tulikuwa tunagombana anahofia nitapata uchizi.

Kuanzia leo nitakua nafatilia na waandishi sio characters tuu
 
Kuna Siku Uliandika Kuhusu Nepotism Sikua Nimeelewa Ila Nikasema Ngoja Niiangalie Black Dog Labda Nitamuelewa Chingu, Sasa Nimekuelewa

Ulevi Mwengine Lol! Ost Zake Sasa Dah Episode Ya Kwanza tu Chozi Jaman. Wakorea Lol!
wewe endelea kuwa mkaidi hivyo hivyo ila kumbuka nimeshakuandalia dozi nzito ya kuangalia project nzuri kimya kimya πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
muda huu nimeshaichukua ep 3, VIP ep 15 na diary of prosecutor ep 3 hata kama hazina subtitle.....
siwezi kupoteza usingizi wangu kwa ajili ya kusubiria subtitle videos haliyakuwa asubuhi nitazikuta files kwenye tovuti ya subscene.

huyu mwalimu wa pembeni natamani aendelee kuwepo ndani ya drama kwa sababu ndiye pekee aliyekuwa akimpa liwazo na faraja..
 
mapenzi ya kwenye drama tuwaachie wakorea na wahindi bwanaaa
sisi pangu pakavu tukishaleta dagaa na tungule mbovu kazi yetu imekwishaaa, no romanticoo and no loveee

masuala ya kuambiana baby naomba unibebe style ya piggyback kama alivyofanya lee seung gi kwa bae suzy ndani ya vagabond........ ebooooosssss unataka kunivunja mgongo mwana wa mwenzio...... wakorea ni wembamba lakini mwenzangu na mimi ni mzito kuliko gogo la muembe wa kutengenezea jahazi

piggyback my foot

Ep 2 # you need candle to sleep




Ep 4 # It’s not just a candle but scented candle
 
Niliumia Pale Alipodondoka Na Saani ya Chakula Na Chozi Lilivyokua Linatoka Lol! Nimeenda Nae Sambamba.

Na Yule Mkaka Mwengine Vipi Kashaanza Muuelewa Mdada.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…