Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
wewe ni nani kwani?
hiyo avatar umeipata wapi au labda una undugu na Khantwe ahjumma?
hiyo avatar umeipata wapi au labda una undugu na Khantwe ahjumma?
Hahahahahaha,aminas huyu kaka yako ananiburudisha mnooo
jamaa ni haters aliyevuka kiwango cha reli
View attachment 1301298
View attachment 1301302
Drama Inayonifanya Naangalia Huku Nasmile Muda Wote, Hyun Bin My Fave.aminas huyu kaka yako ananiburudisha mnooo
jamaa ni haters aliyevuka kiwango cha reli
View attachment 1301298
View attachment 1301302
Kuna Siku Uliandika Kuhusu Nepotism Sikua Nimeelewa Ila Nikasema Ngoja Niiangalie Black Dog Labda Nitamuelewa Chingu, Sasa Nimekuelewaaminas huyu kaka yako ananiburudisha mnooo
jamaa ni haters aliyevuka kiwango cha reli
View attachment 1301298
View attachment 1301302
Yaaan nimejikuta nawaza kuzitazama zote,japo siku hizi nimekua mvivu hatari.yaaan nachagua most rated ndo naangalia au za vijijini tu......ila lazima nizitendee haki hizo ulizonitajiamy top 10 drama kwa mwaka 2019 ukiondoa hizo ulizoangalia
- When The Camellia Blooms drama
- The Fiery Priest drama
- One Spring Night drama
- VIP drama
- Secret Boutique drama
- Graceful Family
- Nokdu Flower drama
- Different Dreams drama
- Doctor John drama
- Search: www
my top 5 kwa drama zinazoendelea
- stove league = sifahamu chochote juu ya mchezo wa baseball lakini hii drama inanifanya niwe addicted.
- crash landing on you: love story kati ya wanadamu wawili wenye damu zinazofanana lakini wakatofautishwa kwa sababu ya siasa za kipumbavu (mwanaume kutoka north korea na msichana kutoka south korea)
- diary of prosecutor: kama ni mfuatiliaji mzuri wa korean drama popote anapotajwa prosecutor fikra zako moja kwa moja zinakupelekea kwenye ulimwengu ulee wa maisha ya kifahari, sikuwahi kuona drama ambayo uhusika wa prosecutor akawa na maisha ya kawaida sanaa ila ukiangalia hii drama utapata kushuhudia daily life ya hawa maprosecutors wanaoishi kwa kutegemea zaidi mishahara yao ya kila mwezi, kumbe hata maprosecutor nao pia ni wavuvi haramu😀😀😀, wengine ni wachimba chumvi kama huyo bwege kutoka pyongyang.
- black dog: siwezi kukusimulia mkasa mzima unaomkumba binti fulani aliyeajiriwa kwenye shule binafsi akiwa kama mwalimu wa muda........... binti aliajiriwa sehemu bila ya kufahamu ya kwamba mjomba wake alimfanyia connection a.k.a nepotism diseaseeeee...... changamoto anazokutana nazo kama ni mzembe kidogo unaweza kuacha kazi.....alah! mtu wenyewe umeajiriwa kwa mkono wa jamaa yako ( uwe na uwezo au kinyume chake wala watu hawajali, wanachohitaji wao ni kukusema vibaya)
- woman of 9.9 billion: dhiki zinazotokana na ugumu wa maisha zimetamalaki kwenye uso wako, huna raha na ndoa yako kwa sababu ya vipigo visivyokwisha kwa mume wako, mara paaap siku moja inatokezea ajali ya gari kumbe ndani ya gari unagundua zilikuwepo billioni 9.9 za magufuli countryyyy....... kudadadeki kumbe wenye huo mzigo wa fedha ni wafanya biashara haramu na wanaitafuta fedha yao ........
Daaaah Basi Yuko vizuri sanaaaaa,naomba niitazame hiyo sita na saba.hapo pa jewel in the palace and six flying dragon nilikuwa nakesha......nawaza inatoka lini sehem ya kulia nalia kwa sauti Kama mfiwa sehem ya kucheka nilikua nacheka mpaka mama yangu tulikuwa tunagombana anahofia nitapata uchizi.View attachment 1300607
Kim Young-Hyun (screenwriter)
Birthdate: 1966
Drama Series
- Arthdal Chronicles (tvN / 2019)
- Six Flying Dragons (SBS / 2015-2016)
- Tree With Deep Roots (SBS / 2011)
- Royal Family (MBC / 2011)
- The Great Queen Seondeok (MBC / 2009)
- H.I.T | Hiteu (MBC / 2007)
- Song of the Prince | ballad of Seo Dong drama (SBS / 2005)
- A Jewel in the Palace | Dae Jang Geum (MBC / 2003)
wengine tunaweza kutumia herufi ya K.
kula, kulala, kulishwa, kusomeshwa, kukogeshwa, kuendeshwa, kuchokoa meno kwa ujiti wa fyagio la mnazi
wewe endelea kuwa mkaidi hivyo hivyo ila kumbuka nimeshakuandalia dozi nzito ya kuangalia project nzuri kimya kimya 😀 😀 😀Kuna Siku Uliandika Kuhusu Nepotism Sikua Nimeelewa Ila Nikasema Ngoja Niiangalie Black Dog Labda Nitamuelewa Chingu, Sasa Nimekuelewa
Ulevi Mwengine Lol! Ost Zake Sasa Dah Episode Ya Kwanza tu Chozi Jaman. Wakorea Lol!
Niliumia Pale Alipodondoka Na Saani ya Chakula Na Chozi Lilivyokua Linatoka Lol! Nimeenda Nae Sambamba.wewe endelea kuwa mkaidi hivyo hivyo ila kumbuka nimeshakuandalia dozi nzito ya kuangalia project nzuri kimya kimya 😀 😀 😀
muda huu nimeshaichukua ep 3, VIP ep 15 na diary of prosecutor ep 3 hata kama hazina subtitle.....
siwezi kupoteza usingizi wangu kwa ajili ya kusubiria subtitle videos haliyakuwa asubuhi nitazikuta files kwenye tovuti ya subscene.
huyu mwalimu wa pembeni natamani aendelee kuwepo ndani ya drama kwa sababu ndiye pekee aliyekuwa akimpa liwazo na faraja..
View attachment 1301838
umeangalia ep 2?Niliumia Pale Alipodondoka Na Saani ya Chakula Na Chozi Lilivyokua Linatoka Lol! Nimeenda Nae Sambamba.
Na Yule Mkaka Mwengine Vipi Kashaanza Muuelewa Mdada.?
Hakuna Anachosema Saeri Akakikubali Ye Muda Wote Anampingia Na Kubishana Nae tu.
Nimeangalia Ila Sijaelewa! Nimeona Kama Anataka Kumsaidia Kutoka Kwa Yule Bazazi.umeangalia ep 2?
jibu utalipata mwishoni mwa episode hiyo