Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

awards zimekwisha....
happy new year 2020
sasa nawaomba munitafutie dawa ya kuacha kunywa ulevi wa korean drama
mwaka huu nataka nigombanie ubunge kwa tiketi ya chama

  1. jimbo la makunduchi = ccm
  2. jimbo la malindi = ACT
  3. jimbo lolote pemba - act
Chukua Iyo Ya Makunduchi Mi Nitakua Msaidizi Wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…