nilitokea kumpenda sana huyu mwanadada kwenye ile drama ya IRISshe's back
Kim Tae Hee’s Upcoming Drama Holds First Script Reading
Hi Bye, Mama!” is a fantasy drama from tvN about a mother who returns to her family as a ghost after passing away in a tragic accident. Kim Tae Hee plays the titular character, Cha Yu Ri, and Lee Kyu Hyung plays her bereaved husband Jo Kang Hwa.
Hi Bye, Mama!” will premiere in February 2020 after the end of “Crash Landing on You.”
View attachment 1305811
Shukrani mkuu nimeona group la telegram nitaenda kuishusha huko.
Kitu kilichoniboa Tena Sana msanii wangu ninayempenda Ha ji won yule demu star kwenye series ya The empress ki unaenda kumpa series yakipuuzi ya chocolate badala ya kumweka kwenye action ambapo watu wengi tunampenda uko ni kumchafulia CV yake na sijui kwanini na yeye kakubali kucheza series ya ovyo Kama hii.
Secret gardenUkitoa empress k Je,Ulishamuona kwenye drama ngapi za action?
Secret garden
Yah ilikuwa na action.Au nimesahau,kwan secret garden ilikua na action?
Kama ni ile ya Hyun bin haina action, maybe kama kuna nyingineAu nimesahau,kwan secret garden ilikua na action?
Kama ni ile ya Hyun bin haina action, maybe kama kuna nyingine
Ni dhairiKeep it up!
Udau katika Tasnia hii ya Burudani ni kama kujenga nyumba na sikuzote huanza na msingi. Msingi imara unaifanya nyumba ama jengo husika kuwa imara pia.
Sorry, hiyo drama ya Jang ok Jang ni nzuri?Alipoteagaaa.... Long time no see!
Mara ya mwisho kwa mimi kumtazama ilikuwa ni katika project moja ya mwaka 2013 ya Jang Ok Jung, Living by Love. Baada ya hiyo akafanya project nyingine moja kisha akatoweka.
I hope bado hajasahau kuigiza. Hahaha!
Just Kidding!
Tafuta damo,the huntless, sector 7,thruth game and duelist Bila kusahau king to haert.labda kamzoe kwenye mbishe ambazo love story ni kidogo thus whyUkitoa empress k Je,Ulishamuona kwenye drama ngapi za action?
Huwa nina hamu ya kuitazama hiyo Damo je, ni nzuri?Tafuta damo,the huntless, sector 7,thruth game and duelist Bila kusahau king to haert.labda kamzoe kwenye mbishe ambazo love story ni kidogo thus why
Ni nzuri na wadau wengi wameipenda.Sorry, hiyo drama ya Jang ok Jang ni nzuri?
Aaah! Ok, Kwa mtazamo wako Kati ya Jang Ok Jang na Dong Yi ipi kali?, na je, Dong Yi kwenye hiyo Drama( Jang Ok Jang) uhusika wake umeelezewaje? au ndio simba na Yanga kila mmoja anajivunia uwanja wa Nyumbani.Ni nzuri na wadau wengi wameipenda.
Ila haikujikita sana katika kuuonesha upande mbaya wa Jang Ok Jung na mabaya yake kwa ujumla katika historia yake kama ilivyowasilishwa katika drama ya Dong Yi.
Naomba mnipe jina la hii series ni ya 2019 inahusiana Sana na mambo ya ndoa kuna mdada apendezewi na ndoa yake na mumewe so anaamua kumwambia kabisa kwenye simu mumewe anaenda kumcheat baada ya mumewe kumuuliza upo wapi ili aje amchukue.