scalethat
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,063
- 1,898
Kwakweli Mimi ilinibariki,iko vizuri.Huwa nina hamu ya kuitazama hiyo Damo je, ni nzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli Mimi ilinibariki,iko vizuri.Huwa nina hamu ya kuitazama hiyo Damo je, ni nzuri?
The last princess au The last empress?Mmmh hamna cast unayemjua? Ukimpata ni rahis kugoogle.
Nimefikiria the last empress ila naona sio
The last princess au The last empress?
ni same seriesThe last princess au The last empress?
ni same series
wakuu nahitaji ku download korean drama, ni website gani nzuri kwa kudownloadia muvi kwenye PC?
Dada unajua jina la hii series inahusiana na mambo ya ndoa mumewe anampigia mkewe simu nakumuuliza uko wapi? Mkewe ana mwambia sitaki kakuambia Niko wapi na leo ninaenda kukucheat.Mkewe amechakua maamuzi hayo baada ya kutofurahishwa na migogoro na mumewe.
Duh!Aaah! Ok, Kwa mtazamo wako Kati ya Jang Ok Jang na Dong Yi ipi kali?, na je, Dong Yi kwenye hiyo Drama( Jang Ok Jang) uhusika wake umeelezewaje? au ndio simba na Yanga kila mmoja anajivunia uwanja wa Nyumbani.
Dramacoolwakuu nahitaji ku download korean drama, ni website gani nzuri kwa kudownloadia muvi kwenye PC?
Dooh Apo Pagumu.Dada unajua jina la hii series inahusiana na mambo ya ndoa mumewe anampigia mkewe simu nakumuuliza uko wapi? Mkewe ana mwambia sitaki kakuambia Niko wapi na leo ninaenda kukucheat.Mkewe amechakua maamuzi hayo baada ya kutofurahishwa na migogoro na mumewe.
KissAsian Ndo Naona Rahisi Kwenye Pc.Dramacool
Dramacool: Watch Korean Drama and Asian Shows Free Online
Watch Latest Korean dramas, Japanese dramas, Chinese dramas and Asian Shows with English Subs on Dramacool. Hourly updates, fast streaming in HD!www.dramacool9.co
My Asian Tv
Kiss Asian
https://kissasian.sh
Nyinginezo, wadau wengine wataongezea hapo.
Kitu Kama " my heart" sijui nitakuwa nimelipatia jina lake.Dooh Apo Pagumu.
Ebu Elezea Maelezo Mengine Ya Hiyo Drama, Ichi Ulichokielezea Kwangu Bado Sijakielewa.
Kuna Drama Nyingi Za Maudhui Haya, Kuijua Moja Kwa Moja Ni Ngumu Chingu Labda Unipe Jina La Mshiriki Mmoja Kwenye Iyo Drama.
Ifatilie series moja inaitwa woman of 9.9 billion ni Kali mno.Nina Wiki Sasa Naifatilia Yi San/Lee San Imenifanya Niache Drama Zote Nazoangalia Ili Kuiangalia Hii Masterpiece.
Nilivyoanza, Nilikua Nairuka Ruka Sababu Niliona Episode Nyingi Ila Nikaamua Kukaza Nakuanza Kuinywa Hii Soju (Daemusin).
67/77 Apa Ndo Nilipofika Ila Ilivyonitenda Naona Kabisaa Nakoelekea Nikumaliza Kiwanda Chote Cha Soju Hii. Imenichukua Ikaisha Nami Kwa Hii Wiki Ikanipa Kampan Ya Kutosha Imenifunza Vingi Imeniingiza Kwenye Kuifatilia Siasa (Simpenzi Sana Wa Hii) Lakin Hii Soju Imenifikisha Uko.
Nimecheka Nawalocheka Umu Ndani, Nikalia Nao, Nikakasirika Nao, Nikaudhika Nao, Nikatabasamu Nao, Ikafika Kipindi Nikaruruka Pale PalipoNishangaza Lol! Soju Hii. Ikafika Kipindi Nikhisi Kama Niko Mule Ndani Eti Kama Vile Nimtie Ngumi Huyu Anaeudhi, Kuja Kushtuka Kumbe Nipo Chato Na Soju Yangu Mkononi. Ikabidi Nijicheke Tu.
Hii Ni Drama Ilonifanyia Yote Hayo Nabado Sijaimaliza, Niseme Nini Mimi Mbele Ya Hawa Waandishi, Hawa Waigizaji Na Wahusika Wote Wanaohusika Kutuburudisha Hivyi.
Neno Langu Moja. Mola Azidi Wabariki Kazi Ya Mikono Yao, Wanatupa Wengine Furaha Tele Na Kuburudika Kwa Kuangalia Wanachokitengeneza.
Naiangalia Iyo Ipo Kwenye List Zangu.Ifatilie series moja inaitwa woman of 9.9 billion ni Kali mno.
Doo Ngoja Niitafute.Kitu Kama " my heart" sijui nitakuwa nimelipatia jina lake.
oooooooh, thank i understandThe last princess ni movie na the last empress ni series. Are we together?
👍👍👍👍Ifatilie series moja inaitwa woman of 9.9 billion ni Kali mno.