Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Frozen Flower,

Yani mpaka leo sijaelewa ilikuaje Wakorea wakaigiza hiyo series na ikakubaliwa,

Wakati kuna series waliicancel na ilikua ya wanawake.
 
Jaman naenda sehem kupumzika nahitaj kupakua korean drama moja kali iniliwaze ila naomba iwe ya action kali sana tafadhali nisaidie jina
 
Sure [emoji85]
Ukiangalia series na mimi utanichoka.Ni chache sana ambazo silii.
Ila wakorea wamejua kunitesa aiseee.
Drama/series/movie zao zote kali.
Mimi pia huwa nalia Sana mpaka Kuna kipindi nilisema nitaacha kuziangalia, ila nilishindwa kuacha. Na hizo OST wakati mwingine ndio zinachochea emotion hasa Kama Ni kipengele cha huzuni. Nawapenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…