Nielekeze mzee baba namna ya kudownload episode kwenye dramanicekwa sababu hukufanya uchunguzi wa hadithi hizo mbili ndio maana nikasema upunguze kuvuta bangi ahjumma mtarajiwa.
jaribu siku moja kuiangalia hiyo project ya dong yi japo ep 5 utagundua nilichokizungumza.....
chengine waliosimamia project mbili hizo ni watu wawili tofauti.
Siku hz wanatuletea vitu havieleweki eti ,,chocolateMbona siku hizi koran hawatoa vitu vya historical zile za ufalme plus mafarasi kulikoni tujuzane ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Huwa Unafuta Unachokiandika??I am crazy, lakini sijawahi kutembea nje na kichupi kama mpiganaji mieleka...
una jengine mshabiki wa mikia (wazee wa kuhonga marefa).
pole kwa kufichwa na haji manara
Drama ya chocolate ni kiboya Sana ingawa Ina best actress ha ji won huyu dada wameshindwa kumtumia vizuri mtu Kama ha ji won unampaje drama ya kiboya kiasi hicho honestly wame niangusha Sana nilikuwa naisubiri Sana kazi ya ha ji won kwa muda mrefu alafu wakampa drama ya kipuuzi.Siku hz wanatuletea vitu havieleweki eti ,,chocolate
Ila mwaka Jana walitoa inaitwa " my country ; the new age"japo sio Kali kama zile za king geunchoggo nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unielekeze namna ya kudownload episode kwenye website ya dramanice pleaseKwanini Huwa Unafuta Unachokiandika??
Unaipenda Sana Simba Sema Ndo ivyo Unajaribu Kuficha Hisia Zako Nakuamua Kuzitoa Kupitia Mtindo Huu.
Kwa PC tumia torch browser haihitaji Internet download manager,ukisha play episode ni kuclick upande wa juu na kuanza Kudownload,Naomba unielekeze namna ya kudownload episode kwenye website ya dramanice please
Niambie kwa upande wa simuKwa PC tumia torch browser haihitaji Internet download manager,ukisha play episode ni kuclick upande wa juu na kuanza Kudownload,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli bwana kama ninyi mlivyotaka kunikosesha uhondo wa Bride of Water God
Sent using Jamii Forums mobile app
Nillitaka niitafute dong yi ila kama umesema inafanana na Jackpot siitaki tena, Jackpot sikuipenda hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unielekeze kudownload episode kwenye website ya dramaniceNaona wafilipino nao wameirudia descendants of the sun. Stering senio wa kwenye mari mari
Naomba unielekeze kudownload episode kwenye website ya dramanice
Me nataka drama ya damo so unaweza kunisaidia nikaipata na nikadownload maana kissasian nimeikuta haipo.Huko pagumu nimepashindwa.
Me nataka drama ya damo so unaweza kunisaidia nikaipata na nikadownload maana kissasian nimeikuta haipo.
Ile ile ya Nova uliyoniambia.Je unajua jinsi ya kudownload kwenye dramacool?Naona ipo dramacool. Saiv unatumia application gani kuvutia movies?
Ile ile ya Nova uliyoniambia.Je unajua jinsi ya kudownload kwenye dramacool?
Kiukwel hiyo itakuwa ngumu gb 2 hapana aisee nipe tu njia nyingine mbadalaJana nilijaribu application mpya ipo faster na inakubali kule dramanice ila sasa application yenyewe ina uzito wa gb 2(kama simu yako ina nafasi chache hii application haikufai maana ikivuta movie ,inafikia kwenye phone memory)
Hii hapa. Ipo play storeView attachment 1358329kama upo tayari kuitumia sema nikuelekeze ukajivutie damo yako vizuri tu. Inaweza kuvuta drama episode nne kwa wakati mmoja
Kiukwel hiyo itakuwa ngumu gb 2 hapana aisee nipe tu njia nyingine mbadala