Asante Sana kwa msaada wako.Issue hapo iliyobakia nieleze namna ya kudownload tu drama yangu kwenye website ya dramacool kwa kutumia hiyo app.Aiseee haya hii hapa imekubaliView attachment 1358348nayo ipo playstore. Udhaifu wa hii maringo,inapenda uwe unaifatilia mara kwa mara pale unapodownload drama,inavuta episode tatu kwa wakati mmoja
Asante Sana kwa msaada wako.Issue hapo iliyobakia nieleze namna ya kudownload tu drama yangu kwenye website ya dramacool kwa kutumia hiyo app.
ni kwa sababu mimi ndiye muandishi (kumbe na wewe unachukia basi pole sana)Kwanini Huwa Unafuta Unachokiandika??
Unaipenda Sana Simba Sema Ndo ivyo Unajaribu Kuficha Hisia Zako Nakuamua Kuzitoa Kupitia Mtindo Huu.
Hahaha Mi Mkubwa Wako.ni kwa sababu mimi ndiye muandishi (kumbe na wewe unachukia basi pole sana)
niliwahi kushabikia simba kabla ya kuzaliwa kwako ila kwa sasa sina mzuka na soka la afrika...
ni bora niangalie kirikuuu ni mdogo lakini ana akili
Shukulaniwewe mjukuu utaacha lini tabia yako ya kuchelewa kufanya assignment?
takribani siku tano zilizopita tulipokuwa tunazungumzia utofauti wa server za kissasian niliweka maelezo yatakayokuwezesha kupakua video kwenye mtandao wa dramanice (kwa mara nyengine tena huenda umeyapuuza)
View attachment 1358564
- chukua daftari lako na penseli uje hapa mbele nikuelekeze
- kwanza mjukuu wangu futa mafua yako kwa kitambaa (usafi kwa mtoto ni muhimu kuliko chupi ya bambino)
- andika : www6.dramanice.movie
- kwenye search: andika damo
- chagua episode unayoitaka
- bonyeza hapo palipoandikwa download (nimekuwekea wino manjano mjukuu wangu)
- ukibonyeza hapo itafunga link mpya a.k.a uzi mpya
- bonyeza hapo kwenye link download (itategemea na video quality unayoitaka au itakayokuwepo)
- maswali mengine kamuulize bibi kirobotooo (muda huu ananipikia uji wa sembe kwa bamia)
View attachment 1358565
Kunifundisha Kuandika Ama!? Kunifundisha Kufuta!?nataka niwe mwalimu wako lakini sharti haji manara asiwepo darasani ninapoamua kukusomesha.
nimezaliwa mwaka wa njaa ya karume...... mwenzangu ulizaliwa mwaka gani?
nitafanya hivyo, ukichelewa kujibu kama kawaida nazifuta
Unataka Nifundisha Nini!?kuandika kiswahili na kiingilishi unajua ila zipo lugha nyengine hujui kuandika......
ok sitomtaja tena Haji manara
ok, sitoleta tena habari za umri (kitisho chako kimenisambaratisha)
Lugha Gani!? Kipemba au Kiunguja!?kuandika kiswahili na kiingilishi unajua ila zipo lugha nyengine hujui kuandika......
ok sitomtaja tena Haji manara
ok, sitoleta tena habari za umri (kitisho chako kimenisambaratisha)
Nikiandika we ni Crez Unakataa!leo umeamka vibaya.....
nisije nikateleza buree na hii kanzu yangu niliovaa bila ya nguo ya ndani...
itakuwa ni fedheha
😒home work
Romantic Doctor Kim2 Nimeangalia Episode 12 Kwa Siku Moja na Robo.leo umeamka vibaya.....
nisije nikateleza buree na hii kanzu yangu niliovaa bila ya nguo ya ndani...
itakuwa ni fedheha
joto hasira lalalaaaaaaa🎼🎼Nikiandika we ni Crez Unakataa!
Sasa Umevaaje Kanzu Bila Kitu Ndani!! Hahahahaha.
Please Stop.joto hasira lalalaaaaaaa🎼🎼
na pesa hakuna lalalaaaaaa🎻🎻🎸🎺🎷
utavaaje nguo nne hadi tano kwa wakati mmoja kama maiti ya kizungu...
suti ya juu
suti ya chini
shati
tai
viatu
chupi
kitambaa cha kufutia jasho ukiwa kaburini
Kingdom Nayo Ni Cheche,wakorea wameshaanza kuzingua, huu umagharibi sisi wengine hatuwezani nao ndio maana tumeukimbia..
wengine tumeshazoea kuangalia hadithi ya drama mwanzo mwisho haijalishi drama husika imebeba episode 100 au zaidi.
huu mfumo wa season naona unaingizwa kwa kasi kwenye ulimwengu wa hallyu....
kingdom drama (season 1, 2, 3)
vagabond drama (tumeambiwa huenda wakarudi na season 2)
arthdal chronicles ( season 1, 2, ...... nimesikia ipo 3 )
stove league drama?
Stove League” Comments On Possibility Of Drama Returning For 2nd Season
On February 15, the producers of the drama revealed that though nothing has yet been set in stone, there is a strong chance that “Stove League” will return for another season—and that many of its cast members have expressed their desire to participate.
“We don’t have any news about Season 2 yet,” the producers stated, “but the actors have said, ‘We want to do a Season 2.’ Because the writer would have to prepare more [for a second season], we don’t know exactly when Season 2 would premiere.”
View attachment 1358832
Kwa Sasa Jinsi Navyoangalia Drama Najua Mwenyewe.kuna project yenye maudhui ya legal inaitwa hyena inakuja siku chache zijazo atakuwemo akiwa ni lead actor.
kumalizika kwa stove league ndio mwanzo wa hyena.
drama zote zilizoonyeshwa siku ya ijumaa na kituo cha SBS zinabeba rate nyingi sana.
Ngoja tuone hii itakuwaje wiki ijayo inshaallah
halafu itakuwepo netflix, it means subtitle itapatikana mapemaaaaaa
View attachment 1358846
Nilimpenda Mlinzi Wake, Jinsi Wanavyoongea Na Kujibishana.mwezi machi bado haujafika tu....... february umekuwa mrefu kuliko mnara wa babeli
Poa.ngoja nikanunue suruali ya kuvaa... nataka nitoke nje
baadae kidogoooooooo
Handsome siblings hiv ni nzuri?uzito umepungua kwa kasi ya 5G.
---------------------------------------------------------------
- diary of prosecutor drama - ( imemaliza)
- stove league drama - (imemaliza)
- crash landing on you drama - ( inamaliza kesho)
- itaewon class drama = hutakiwi kukosa kuifuatilia kila wiki
- tell me what you saw drama = ikifika episode 10 kama jang hyuk hajatoka mafichoni nitaachana nayo (screen time yake imekuwa ni ndogo sanaaaa)
- money game drama
- the game toward zero drama
- romantic doctor teacher kim season 2 drama.
now: 10 episodes per week