Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aiseee haya hii hapa imekubaliView attachment 1358348nayo ipo playstore. Udhaifu wa hii maringo,inapenda uwe unaifatilia mara kwa mara pale unapodownload drama,inavuta episode tatu kwa wakati mmoja
Asante Sana kwa msaada wako.Issue hapo iliyobakia nieleze namna ya kudownload tu drama yangu kwenye website ya dramacool kwa kutumia hiyo app.
 
Ukishaivuta application,ingia hapo juu type dramanice itakupeleka huko google ingia dramanice search damo. Kisha click episode ya kwanza,ikija video
IMG_20200215_125219.jpg
click hako kamshale ka pink,itakupeleka hapa,umeona hivyo viboksi vinne,chagua hicho cha kwanza,achana na hicho cha pekee juu
IMG_20200215_125354.jpg

Ukichagua hicho cha kwanza itakupeleka hapa. Hakikisha wakati inakupeleka hapa. Juu yake yatokee maandishi gcloud.live. Yakitokea mengine jua ni tangazo stopisha kwenye herufi X inayokua mbele ya hayo maneno(chunguza utaelewa)
IMG_20200215_125241.jpg

Ukifika hatua hio pichan unabonyeza download unasuburia namba mpaka ziro itakuja 360 unaibonyeza,mshale wa application utabadilika rangi utaubonyeza mzigo utaanza kushuka.Nasubiria mrejesho
Asante Sana kwa msaada wako.Issue hapo iliyobakia nieleze namna ya kudownload tu drama yangu kwenye website ya dramacool kwa kutumia hiyo app.
 
Kwanini Huwa Unafuta Unachokiandika??

Unaipenda Sana Simba Sema Ndo ivyo Unajaribu Kuficha Hisia Zako Nakuamua Kuzitoa Kupitia Mtindo Huu.
ni kwa sababu mimi ndiye muandishi (kumbe na wewe unachukia basi pole sana)

niliwahi kushabikia simba kabla ya kuzaliwa kwako ila kwa sasa sina mzuka na soka la afrika...
ni bora niangalie kirikuuu ni mdogo lakini ana akili
 
ni kwa sababu mimi ndiye muandishi (kumbe na wewe unachukia basi pole sana)

niliwahi kushabikia simba kabla ya kuzaliwa kwako ila kwa sasa sina mzuka na soka la afrika...
ni bora niangalie kirikuuu ni mdogo lakini ana akili
Hahaha Mi Mkubwa Wako.
Unazoniquote Usifute.
 
wewe mjukuu utaacha lini tabia yako ya kuchelewa kufanya assignment?

takribani siku tano zilizopita tulipokuwa tunazungumzia utofauti wa server za kissasian niliweka maelezo yatakayokuwezesha kupakua video kwenye mtandao wa dramanice (kwa mara nyengine tena huenda umeyapuuza)

  1. chukua daftari lako na penseli uje hapa mbele nikuelekeze
  2. kwanza mjukuu wangu futa mafua yako kwa kitambaa (usafi kwa mtoto ni muhimu kuliko chupi ya bambino)
  3. andika : www6.dramanice.movie
  4. kwenye search: andika damo
  5. chagua episode unayoitaka
  6. bonyeza hapo palipoandikwa download (nimekuwekea wino manjano mjukuu wangu)
  7. ukibonyeza hapo itafunga link mpya a.k.a uzi mpya
  8. bonyeza hapo kwenye link download (itategemea na video quality unayoitaka au itakayokuwepo)
  9. maswali mengine kamuulize bibi kirobotooo (muda huu ananipikia uji wa sembe kwa bamia)
View attachment 1358564
View attachment 1358565
Shukulani
 
nataka niwe mwalimu wako lakini sharti haji manara asiwepo darasani ninapoamua kukusomesha.

nimezaliwa mwaka wa njaa ya karume...... mwenzangu ulizaliwa mwaka gani?

nitafanya hivyo, ukichelewa kujibu kama kawaida nazifuta
Kunifundisha Kuandika Ama!? Kunifundisha Kufuta!?

Uyo Haji Mi ata Simjui! Namfahamu Tu!
Unajikuta Mkubwa Eti. Inawezekana Unachati Na Umri Sawa Na Mama Mzazi.
 
kuandika kiswahili na kiingilishi unajua ila zipo lugha nyengine hujui kuandika......

ok sitomtaja tena Haji manara

ok, sitoleta tena habari za umri (kitisho chako kimenisambaratisha)
Unataka Nifundisha Nini!?
 
kuandika kiswahili na kiingilishi unajua ila zipo lugha nyengine hujui kuandika......

ok sitomtaja tena Haji manara

ok, sitoleta tena habari za umri (kitisho chako kimenisambaratisha)
Lugha Gani!? Kipemba au Kiunguja!?
 
Nikiandika we ni Crez Unakataa!

Sasa Umevaaje Kanzu Bila Kitu Ndani!! Hahahahaha.
joto hasira lalalaaaaaaa🎼🎼
na pesa hakuna lalalaaaaaa🎻🎻🎸🎺🎷

utavaaje nguo nne hadi tano kwa wakati mmoja kama maiti ya kizungu...

suti ya juu
suti ya chini
shati
tai
viatu
chupi
kitambaa cha kufutia jasho ukiwa kaburini
 
joto hasira lalalaaaaaaa🎼🎼
na pesa hakuna lalalaaaaaa🎻🎻🎸🎺🎷

utavaaje nguo nne hadi tano kwa wakati mmoja kama maiti ya kizungu...

suti ya juu
suti ya chini
shati
tai
viatu
chupi
kitambaa cha kufutia jasho ukiwa kaburini
Please Stop.
 
wakorea wameshaanza kuzingua, huu umagharibi sisi wengine hatuwezani nao ndio maana tumeukimbia..
wengine tumeshazoea kuangalia hadithi ya drama mwanzo mwisho haijalishi drama husika imebeba episode 100 au zaidi.

huu mfumo wa season naona unaingizwa kwa kasi kwenye ulimwengu wa hallyu....

kingdom drama (season 1, 2, 3)
vagabond drama (tumeambiwa huenda wakarudi na season 2)
arthdal chronicles ( season 1, 2, ...... nimesikia ipo 3 )

stove league drama?

Stove League” Comments On Possibility Of Drama Returning For 2nd Season

On February 15, the producers of the drama revealed that though nothing has yet been set in stone, there is a strong chance that “Stove League” will return for another season—and that many of its cast members have expressed their desire to participate.

“We don’t have any news about Season 2 yet,” the producers stated, “but the actors have said, ‘We want to do a Season 2.’ Because the writer would have to prepare more [for a second season], we don’t know exactly when Season 2 would premiere.”
View attachment 1358832
Kingdom Nayo Ni Cheche,
Male Lead Nimemkubari Naye Namueke Kwenye Anga Zangu.
 
kuna project yenye maudhui ya legal inaitwa hyena inakuja siku chache zijazo atakuwemo akiwa ni lead actor.
kumalizika kwa stove league ndio mwanzo wa hyena.

drama zote zilizoonyeshwa siku ya ijumaa na kituo cha SBS zinabeba rate nyingi sana.
Ngoja tuone hii itakuwaje wiki ijayo inshaallah
halafu itakuwepo netflix, it means subtitle itapatikana mapemaaaaaa
View attachment 1358846
Kwa Sasa Jinsi Navyoangalia Drama Najua Mwenyewe.
Ikiisha CLO Sitakua Na On-Going Yeyote, Nataka Nianze Na Tell Me What U... Na Hii Labda Na Forest Nataka Kuianza Leo Maana Naona Inawatazamji.
 
uzito umepungua kwa kasi ya 5G.

  1. diary of prosecutor drama - ( imemaliza)
  2. stove league drama - (imemaliza)
  3. crash landing on you drama - ( inamaliza kesho)
---------------------------------------------------------------
  1. itaewon class drama = hutakiwi kukosa kuifuatilia kila wiki
  2. tell me what you saw drama = ikifika episode 10 kama jang hyuk hajatoka mafichoni nitaachana nayo (screen time yake imekuwa ni ndogo sanaaaa)
  3. money game drama
  4. the game toward zero drama
  5. romantic doctor teacher kim season 2 drama.
now: 10 episodes per week
Handsome siblings hiv ni nzuri?
 
Back
Top Bottom