Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yaani...wewe sio mtu wa mchezo mchezo
 
Kwa Wanaume Jibu Ni CHOI SOO JONG.
Ila Wanawake Wengi Watamtaja SONG IL GUK Koz Anavutia Zaidi.
 
Mniadd Group.
0653309478.
Tangu Pc Ya General Wa Kigoguryeo Ife Motherboard Bas Nakosa Mizigo.
Na Boom Hamna Mtaani Kugumu.
Ningekua Zangu Goguryeo Ningekua Ansiseong Fort Na General Yang Manchun Tunafyatua Tu Wachina.
 
Song Il Gook Ni Popular. Alafu Pia Drama Zake Nyingi Zilikua Namna Iyo Ili Kuvutia Audience Ya Kike.
Siwez Kumlaumu Choi So Joong Kuwa Sio Romantic Koz Script Inadirectiwa Na Director Yeye Hahusiki. Characters Waliotakiwa Kawacheza Accordingly.
I Repeat,Disadvantage Yake Ni Popularity Na Sio Handsome/Attractive Compared To Song Il Gook.

Song Il Gook Is Handsome,Alafu Tumeanza Kumuona Before Choi So Joong. He Is Popular Worlwide Compared To Choi He Is A Big Brand. Ni Kama Times Za Kikwete Na Slaa,Slaa Might Be Good Ila Kikwete Is Loveable Same Can Be Said Between Song Il Gook And Choi So Joong.

But Hey,Kila Mtu Ako Na Choices...
I Like Em Both (Cant Love A Fellow Man,That Is Gay) But In Terms Of Historical Dramas "SAGEUKS" Fairly Speaking Choi Edges Out A Narrow Win,My View.
 
Kwa Mnaolia Kuhusu Dae Jo Young.
Mtandaoni Mimi Nilipata Episodes 22 Tu. Zilizobakia Nilizipata Youtube Na Huko Zimetafairiwa Kituruki So Huwezi Kusikia Jjanggguuun Utaskia Generali. Search Youtube Ingawa Inachosha Alieupload Alizingua Sana.
 
Frozen Flower,

Yani mpaka leo sijaelewa ilikuaje Wakorea wakaigiza hiyo series na ikakubaliwa,

Wakati kuna series waliicancel na ilikua ya wanawake.
Kuna series ya frozen flower au movie?
 
Mniadd Group.
0653309478.
Tangu Pc Ya General Wa Kigoguryeo Ife Motherboard Bas Nakosa Mizigo.
Na Boom Hamna Mtaani Kugumu.
Ningekua Zangu Goguryeo Ningekua Ansiseong Fort Na General Yang Manchun Tunafyatua Tu Wachina.
Yan manchun mrithi wa eulj mandeok ambae aliicha pacha china kipind hiko ikiitwa sui dynasty, hatimaye yang manchun na yeom gae so mun waliitetea barabara nchi ya Gwanggaeto the great conqueror isichukuliwe na tang dynasty. Ingawa baada ya kufa kwa yang gae so mun wa Pyongyangseong mwanae yeom nameng na wenzake wakamsaliti na kumuua yang manchun wa anseseong ya huko liodong kwaajili ya cheo cha supreme commernder, hatima nchi ikatekwa na tang, baadae dae jo yeong, baba yake dae jung sang na wengineo akina gursabiyu wakaipatia uhuru nchii hiyo ya the great Gwanggaeto ingawa iliwachukua miaka 30.
 
Maandiko Ya Kihistoria Kuhusu Yang Manchun Ni Machache. Kuuawa Na Yeon.Namseng Nadhani Umechukua Toka Kwa Drama Ya Dae Joyoung,Ila Haijawahi Kuandikwa Kifo Chake Kimetokana Na Nini. Pia Try To Learn The Real History Behind Hizi Drama. Kuna Characters Au Events Zingine Hufanywa Au Houngezwa Ili Drama Iendelee Au Ivutie While Being Historically Incorect.

NB: Dae Jo Young Na Geol SaBiwu Sio Age Mates,Geol SaBiwu Historically Ni Age Mate Wa Dae Jungsanga Na Hakuna Ushahidu Kuwa Aliwahi Kushirikiana Na Dae Jo Young Kama Ambavyo Inaonyeshwa Katika Ile Drama.
Na Dae Jo Young Alianzisha Taifa La Balhae Likiwa Na Idadi Ndogo Ya Wakorea (Goguryeo) Waliokua Wakiongoza Huku Mohe,Malgals,Khitans Wakiwa Subjects Ambapo Mwishoni Khitans Walipindua Na Kuanzisha Yuan/Mongol Dynasty. Hizo Ndio Historical Facts Behind The Story. Wakati Wa Balhae Wakorea Wengi Walikua Unified Silla Iliokua Ndo Inatawala Korean Peninsula Na Baadae Koryo Iliyokuja Ku-unify Korea Nzima.
A Lil Bit Of History.
 
Basi na mimi naungana na wanaume
Mimi ni Song Il Guk.
Achana na uhandsome/uromantic wake...nimeangalia series/drama zake nyingi na nilimkubali since day one nilipoangalia kwa mara ya kwanza Jumong.
Hadi leo hakuna aliyeweza kuchukua crown yake kwangu [emoji119] .
 
Itafuteni The flower in Prison mtaniambia ni zaidi ya Jumong na hizo nyingine.
Ni bonge la drama la kihistoria ni mpya kabisa ya 2016 imebakisha episode 3 tu
kumalizika kuoneshwa ktk tv huko korea kusini.
 
Mimi ni Song Il Guk.
Achana na uhandsome/uromantic wake...nimeangalia series/drama zake nyingi na nilimkubali since day one nilipoangalia kwa mara ya kwanza Jumong.
Hadi leo hakuna aliyeweza kuchukua crown yake kwangu [emoji119] .
Sijakataaa. But Mleta Mada Alisema Historical Korean Dramas. Nakubaliana Na Ww In Every Aspect Ila Kwenye Historical Nadhani Choi Anachukua Iyo Crown....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…