Team Song Il Gook oyeeeee?
Damushinmuhyool nimekupendaje kwa maelezo yako?
Nimepata burudani kubwa sana asubuhi hii...ubarikiwe.
Nimependa ulipoigusia Baek Dong Soo...ile kitu ni shida!
Panga linalotembea kule sio la kitoto.
Napenda pale yule mnafiki alipokatwa kidole na Geumwa (Jina alilotumia mhusika ktk Jumong)
Hii historical drama ni ya ukweli sana,maadui wanafanyiana fair kama akizidiwa anamuachia mwenzie akaonane na 'le mbebez'...lol
Wazee wameonesha uwezo mkubwa sana wa martial arts.Chaulevi (Sky Lord)nae sio haba.
Nilisikitika yule master wa wale (akina Baek Dong Soo)watoto alipouawa walipovamiwa usiku!
Dah...
Hii drama niliicheki 2013,nikipata muda nitairudia tena.
Ila tujipange hapa team Choi Soo Jang akina
juan moses wakija patawakaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]