Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Pata Premium Netflix acount kwa bei ya karanga
Ni Ultra HD acount
Ina uwezo wa kushare na ndugu na majaa na marafiki
Ni Tsh 3000/= tu kwa mwezi
Utalipia baada ya kupata acount yako

Nicheck whtspp +255674294643

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • netflix.jpg
    50.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200625-103345_Netflix.jpg
    15.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200625-103345_Netflix.jpg
    15.3 KB · Views: 2
Netflix wanaonyesha na mpira ama ni movie tu
 
Naked killer si mpya ni ya miaka ya 90 pole kwa kuiangalia Leo
Sisi vijana WA zaman tunakumbuka
Wadada makatili sana
Sawa, nimekupata Mjomba, naomba nijue namna mnavyopakua hizo video kupitia link ya hapo juu maana jana nilijaribu kupakua muvi ya "Bridal mask" lakini hata sikufanikiwa maana kila nilipokuwa nikipakua nililetewa sehemu ya kubonyeza "Allow" na nilipobonyeza hata sikuambulia chochote zaidi ya kukutana na matangazo tu.
 
Tumia telegram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…