Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Si ndo hapo na mimi nimeshangaa khaaa. Maana mimi zinazotajwa hapa asilimia kubwa ni mpya kwangu na zile nilizoangalia zimetajwa chache sana
Sahiz naangalia current ndg zinatoka sahiz wanatoa eps moja moja mfano K2 kila week wanaachia epsd 2
 
Fashion king
Snow Queen
Sensory cop
Mourim school
I miss you
King of banking
The spy
Nk
 
Umetisha mkuu
 
Natamani kuiamgalia hyo emperor of the sea, je niipate wapi, maana huwa k/drama nyingi huwa na download kupitia www.drama fire.com, lkn hyo emporor of the sea huwa siipate, msaada ni site gan nitaipata?
 
Jamani anayejua link ya drama za kifilipino anisaidie
 
Kwa wale ambayo wanaijua link ya kuweza kjdownload vitabu mbalimbali vya historia ya korea, hasa three kingdoms history mf samguk sagi n yusa naomba anisaidie tafadhari
 
Sawa nikubali sijaangalia zote mkuu ili uridhike
 
Asante kwa kushare, nawakubali karibia wote lakini zaidi saaana no 8,9, na 10.
 
Ila Korean drama ziko nyingi jamani bado namshangaa aliyesema ameangalia zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…