Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

DowntownGuy kikawaida ninapokuwa Kuna game ya timu yangu na Kuna movie au drama ya kucheki alafu kesho yake Nina paper Mara nyingi ninakuwa siangalii lakini kwa utamu wa "The empress Ki" nilijikuta ninaangalia episodes 5 alafu mzee kesho ninapaper.Hii ni drama pekee iliyonifanya niangalie episodes nyingi kwa siku moja nakumbuka Kuna siku nilipiga episodes 10 kwa siku 1 pekee.Mwandishi wa hii drama nimempa 5 aisee na niseme ukweli nilivutiwa Sana na uigizwaji wa mwanadada Ha ji won aliitendea haki hii drama yeye kiasi kikubwa aliifanya hii drama iwe best japokuwa me si mpenzi wa starring akiwa mwanamke lakini huyu alinikosha moyo wangu kabisa.
Numbisa
Daemusin
Mkuu bado unasoma?
 
View attachment 1599010

Naendelea na task niliyopewa na Daemusin mwaka uliopita.
Kuna Jitu majitu mababe na makatiri kama Yiko, Yi Uibang, Yi Ui min n.k ni mwendo wA kupinduana.
niko episode ya 15/158
juzi moja nimepitia thread fulani humu ndani (imeanzishwa na member fulani) anasema six flying dragons ndio historical drama bora,
nikaikumbuka beti ya yule mjinga kwenye shairi la wimbo wake wa taarabu asilia anasema mapenzi yamemtia upofu.
kama unausikia ule msemo wa kufa nitakufa lakini cha moto mtakiona ndio hii, wazee wa age of warriors wanakufa kibabe

---------------------

wewe mjinga upunguze kulitaja jina langu mara kwa mara.
unanipunguzia riziki za kupata pesa.
halafu bado shule haijafungwa?
 
Huyo ni wa kumvumilia tu!
Pamoja na sababu au masuala mengine ni kutokana na kutofautiana kwa malengo na misimamo yao.
Hatimaye chuki, wivu na tamaa vinazaliwa na kusababisha mafarakano ambayo yanapelekea hayo mauaji n.k.
Kuna msemo wanapenda kuusema sana kwamba "Glory can not be shared".
Yaani, utukufu hauwezi kugawanywa pande mbili au zaidi hasa linapokuja suala la kutawala nchi.
Hii ni kuhofia mpasuko wa madaraka pale ambapo mpango mahususi wa kuanzishwa kwa taifa jipya utakapo kamilika. Hapa ndipo chuki, tamaa pamoja na wivu mbaya unapotawala ambao unaweza kupelekea hata mpango uliokusudiwa kutokamilika ipasavyo.
Lakini chanzo cha haya yote ni nini?
Kuna usemi unasema "Hakuna aliyekamilika ndio maana penseli zina vifutio".
kwa situation ile aliokutana nayo yi bang won hata kama ingelikuwa ni mimi basi ningelifanya uamuzi ule (japokuwa kwenye drama huwa nachukizwa na tendo lile, teh teh teh).

alikuwa ni mtoto wa 5 kuzaliwa kama nitakuwa nipo sahihi lakini ndiye mtoto aliyekuwa mstari wa mbele zaidi kumuunga mkono baba yake kwenye harakati za kufanya mapinduzi(kwa ufupi alikuwa ni mtoto sahihi zaidi kurithi madaraka ukilinganisha na chaguo la waziri mkuu sambong)

both sambong na yi bang won ni wanadamu ambao walikwisha tofautiana kimtazamo juu ya sera sahihi za kuiongoza joseon iliokuwa bado ni nchi changa.
  1. sambong aliamini ya kwamba nchi bora ni ile ambayo ina good connections kati ya kiongozi mkuu na wafuasi wake, yeye aliamini ya kwamba mfalme hapaswi kuwa na nguvu kubwa ya kimaamuzi kwa sababu itakuwa ni hatari hususani itakapotokezea siku ambayo taifa litatawaliwa na mwendawazimu wa matendo na si akili.
  2. yi bang won na wafuasi wake waliamini ya kwamba nchi bora ni ile ambayo itajengwa kwa nguvu na maamuzi ya mfalme.
mafahari wawili hawawezi kuishi eneo moja kwa amani,
sambong aliwahiwa yeye kwenye lile tukio, kinyume chake yi bang won angeliuliwa yeye.
 
juzi moja nimepitia thread fulani humu ndani (imeanzishwa na member fulani) anasema six flying dragons ndio historical drama bora, nilishindwa hata kumpa like
nikaikumbuka beti ya yule mjinga kwenye shairi la wimbo wake wa taarabu asilia anasema mapenzi yamemtia upofu.

kama unausikia ule msemo wa kufa nitakufa lakini cha moto mtakiona ndio hii, wazee wa age of warriors wanakufa kibabe

---------------------

wewe mjinga upunguze kulitaja jina langu mara kwa mara.
unanipunguzia riziki za kupata pesa.
halafu bado shule haijafungwa?

hahah Humo ndani ni Ubabe tu, Hayo majitu yalitakiwa yawe chini ya Mfalme Gwanggaeto the Great au Jumong, Daemusin au Jang Su wa Gogryeo. maana walitamba sababu ya kukosa wafalme mashujaa kama kama Wang gun.

Nikikuita kwanza ni barakka kwako.

hahaha baada ya field ni kurudi tena kwenye mapambano.
 
walikuwa vichaa waliokosa elimu bora ya sayansi ya siasa....
nilitokezea kumpenda yi ui min, siku niliosoma historia yake basi nikamchukia
nilitegemea angelikuwa kiongozi bora kumbe ndio yale yale.

niliishia episode 93 tokea mwaka 2019
 
Hahaha Nimekuta Vijana sehemu fulani wakimlinganisha Jang hyuk na Yi min hoo. nimewaacha na upofu wao.
Muda mwingine tuwe serious Yi min hoo kwa Jang hyuk kweli?!!.
Jang Hyuk sijawahi kumuona ametoa project mbovu.
 
Daah! Naona mke wake( Yi ui min) anajisemea rohoni mbele ya mke wa Yi ui bang kuwa ipo siku atamsujudia.

Cammanda Yi kumbe alikuja kuwa jeuri hivyo!. Jitu moja linaitwa Yi ko linakiburi!.
 
wavumilie bwana...ukishakuwa lejendari kwenye maeneo haya unatakiwa upite kimya kimya kwenye mijadala kama hiyo.
ukiitwa unajifanya huna habari
teh teh teh
==============
halafu muhuni wewe hatupo joseon hapaaa, tumia ingilishi kutamka majina ya celebrities wa seoul
ni lee na si Yi
 
Daah! Naona mke wake( Yi ui min) anajisemea rohoni mbele ya mke wa Yi ui bang kuwa ipo siku atamsujudia.

Cammanda Yi kumbe alikuja kuwa jeuri hivyo!. Jitu moja linaitwa Yi ko linakiburi!.
anakufa ksienge sana yule jamaa
yi ui bang naye anafanyiwa uhuni wa kufa mtu

muosha huoshwa ndio unachojifunza kwenye age of warriors,
baadae kuna dogo mwenye miaka 26 tu anakuja kumpindua mtemi fulani (uyo mzee wa tatu aliyeongoza mapinduzi ya kumua mfalme)
huwezi kuamini yaani
 
Back
Top Bottom