Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu bado unasoma?
 
View attachment 1599010

Naendelea na task niliyopewa na Daemusin mwaka uliopita.
Kuna Jitu majitu mababe na makatiri kama Yiko, Yi Uibang, Yi Ui min n.k ni mwendo wA kupinduana.
niko episode ya 15/158
juzi moja nimepitia thread fulani humu ndani (imeanzishwa na member fulani) anasema six flying dragons ndio historical drama bora,
nikaikumbuka beti ya yule mjinga kwenye shairi la wimbo wake wa taarabu asilia anasema mapenzi yamemtia upofu.
kama unausikia ule msemo wa kufa nitakufa lakini cha moto mtakiona ndio hii, wazee wa age of warriors wanakufa kibabe

---------------------


wewe mjinga upunguze kulitaja jina langu mara kwa mara.
unanipunguzia riziki za kupata pesa.
halafu bado shule haijafungwa?
 
kwa situation ile aliokutana nayo yi bang won hata kama ingelikuwa ni mimi basi ningelifanya uamuzi ule (japokuwa kwenye drama huwa nachukizwa na tendo lile, teh teh teh).

alikuwa ni mtoto wa 5 kuzaliwa kama nitakuwa nipo sahihi lakini ndiye mtoto aliyekuwa mstari wa mbele zaidi kumuunga mkono baba yake kwenye harakati za kufanya mapinduzi(kwa ufupi alikuwa ni mtoto sahihi zaidi kurithi madaraka ukilinganisha na chaguo la waziri mkuu sambong)

both sambong na yi bang won ni wanadamu ambao walikwisha tofautiana kimtazamo juu ya sera sahihi za kuiongoza joseon iliokuwa bado ni nchi changa.
  1. sambong aliamini ya kwamba nchi bora ni ile ambayo ina good connections kati ya kiongozi mkuu na wafuasi wake, yeye aliamini ya kwamba mfalme hapaswi kuwa na nguvu kubwa ya kimaamuzi kwa sababu itakuwa ni hatari hususani itakapotokezea siku ambayo taifa litatawaliwa na mwendawazimu wa matendo na si akili.
  2. yi bang won na wafuasi wake waliamini ya kwamba nchi bora ni ile ambayo itajengwa kwa nguvu na maamuzi ya mfalme.
mafahari wawili hawawezi kuishi eneo moja kwa amani,
sambong aliwahiwa yeye kwenye lile tukio, kinyume chake yi bang won angeliuliwa yeye.
 
hahah Humo ndani ni Ubabe tu, Hayo majitu yalitakiwa yawe chini ya Mfalme Gwanggaeto the Great au Jumong, Daemusin au Jang Su wa Gogryeo. maana walitamba sababu ya kukosa wafalme mashujaa kama kama Wang gun.

Nikikuita kwanza ni barakka kwako.

hahaha baada ya field ni kurudi tena kwenye mapambano.
 
walikuwa vichaa waliokosa elimu bora ya sayansi ya siasa....
nilitokezea kumpenda yi ui min, siku niliosoma historia yake basi nikamchukia
nilitegemea angelikuwa kiongozi bora kumbe ndio yale yale.

niliishia episode 93 tokea mwaka 2019
 
Hahaha Nimekuta Vijana sehemu fulani wakimlinganisha Jang hyuk na Yi min hoo. nimewaacha na upofu wao.
Muda mwingine tuwe serious Yi min hoo kwa Jang hyuk kweli?!!.
Jang Hyuk sijawahi kumuona ametoa project mbovu.
 
walikuwa vichaa waliokosa elimu bora ya sayansi ya siasa....
nilitokezea kumpenda yi ui min, siku niliosoma historia yake basi nikamchukia
nilitegemea angelikuwa kiongozi bora kumbe ndio yale yale.

niliishia episode 93 tokea mwaka 2019
Daah! Naona mke wake( Yi ui min) anajisemea rohoni mbele ya mke wa Yi ui bang kuwa ipo siku atamsujudia.

Cammanda Yi kumbe alikuja kuwa jeuri hivyo!. Jitu moja linaitwa Yi ko linakiburi!.
 
Hahaha Nimekuta Vijana sehemu fulani wakimlinganisha Jang hyuk na Yi min hoo. nimewaacha na upofu wao.
Muda mwingine tuwe serious Yi min hoo kwa Jang hyuk kweli?!!.
Jang Hyuk sijawahi kumuona ametoa project mbovu.
wavumilie bwana...ukishakuwa lejendari kwenye maeneo haya unatakiwa upite kimya kimya kwenye mijadala kama hiyo.
ukiitwa unajifanya huna habari
teh teh teh
==============
halafu muhuni wewe hatupo joseon hapaaa, tumia ingilishi kutamka majina ya celebrities wa seoul
ni lee na si Yi
 
Daah! Naona mke wake( Yi ui min) anajisemea rohoni mbele ya mke wa Yi ui bang kuwa ipo siku atamsujudia.

Cammanda Yi kumbe alikuja kuwa jeuri hivyo!. Jitu moja linaitwa Yi ko linakiburi!.
anakufa ksienge sana yule jamaa
yi ui bang naye anafanyiwa uhuni wa kufa mtu

muosha huoshwa ndio unachojifunza kwenye age of warriors,
baadae kuna dogo mwenye miaka 26 tu anakuja kumpindua mtemi fulani (uyo mzee wa tatu aliyeongoza mapinduzi ya kumua mfalme)
huwezi kuamini yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…