Nilikuwa natania kidogo.. series zao ni ndefu kama isidingo...
Upo sahihi series za India kwa kissasian.sh hazipo
Lakini part kubwa ya nchi ya Asia zipo me huwa natumia torrent kudownload za India.. kama kuna anayehitaji nimpe tovuti zake
Yang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
View attachment 1626353
Empress ki
Six flying dragons
The Return of Ilijimae
Bridal Mask
Great Queen
Jumong (1 and 2)
Baker King
God of War
The Hidden Root
A man called God
Ile ya mwendelezo wake jna lake lenyewe nmelisahauJumong 2 ndio ipi hiyo?
alikichafua mno mule ndani....anastahili projects nyengine apate kutuonyesha kipaji chakeHahahaaa, huyu mwamba kituko sana.
Zipi.mkuu[emoji3][emoji3]nimecheka sana....
hata mimi zamani nilikuwa na fikra kama hizo
hapo jumong amezaliwa tenaZipi.mkuu[emoji3][emoji3]
Hawakusema kama alizaliwa tena ili aliappear tena[emoji3][emoji3][emoji3]kwa jina jingine ila mwenyewe.hapo jumong amezaliwa tena
Najua mkuuu.nilikuwa nakuzingua tu.
kwa miaka hii ya karibuni (takribani miaka 8) hawajatengenezaNajua mkuuu.
Siku hizi series kama z Jumong au Empress Ki zipogo bado?
Daaaah....kwa miaka hii ya karibuni (takribani miaka 8) hawajatengeneza
mabadiliko ya soko pamoja na gharamaDaaaah....
Anyway nadhan wanaenda na mazingira na mabadiliko ya teknolojia
Kwamba zile zina gharama nying?mabadiliko ya soko pamoja na gharama
pamoja na maandalizi yake...Kwamba zile zina gharama nying?
Ila nilizipenda aseeemabadiliko ya soko pamoja na gharama
Sjaziangalia hizo mkuuu...ni za kisasa ila zenye muktadha wa kizamani?teh teh teh
kama the last empress na the king eternal monarch
=====
si itakuwa unakwenda kinyume na historia?
Itabidi nizitafute nkazichunguliekwa asilimia fulani
ukiwa na nafasiItabidi nizitafute nkazichungulie