Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Itafute "Jeong do Jeon"hii ndio imeeleza uhalisia wa Harakati za Jeong Do Jeon a.k.a Sambong mpaka kuanzisha Taifa Joseon ( YI dynasty).

Six flying Dragon Director kajiongeza sana kwenye baadhi visa vingi kuliko uhalisia.

Kama unataka the real history ya kuanzishwa Joseon itazame "Joeng Do Jeon" kama unapenda zaidi action tazama Six flying Dragon.

Six flying Dragon was released 2015
wakati Jeong Do Jeon 2014. kwa zote mbili ukiniuliza ipi bora nitakwambia JOENG DO JEON
 
Drama ambazo nimezitazama 2020

Emperor Wang gun(2019-2020
Age of warriors(2019-2020)
Princess Man(2019-2020)
Three days
Waikiki
Two weeks
Vagabond
Healer
East of Eden
Sword and flower
The Legend of four gods
Hong gil dong
Shine go crazy
Waikiki 2
Strong woman Bong su
Modern farmers
The Fiery priest
Shin Don
Last
You Are all surrounded
Perfume
Alice
Money game
Money flower
Inspiring Generation
Search

Age of warriors bado tunasonga, ni dhahiri kuwa hii nitaimaliza 2021

Toka nimewajua wakorea 2008. 2020 ndio mwaka niliangalia Drama nyingi za mjini kuliko miaka yoyote ile.

Waikiki ndio iliyonivunja mbavu kwa upande wa Comedy.
 
Emperor Wang gun. Unayo HD???
 
Hivi kwa mapigano yao siku wakikutana Bidam( The great qeen) vs Li Ban ji ( 6flying dragon) huo mpambano nani atapigwa? maana jamaa wote ni vitasa kwenye mapigano
 
Goksan style itamsaidia Le Ban Ji baada ya kujua style za kale kadada
ile style ni noma, ila noma zaidi ni ile aliyoipata kwa kale kazee ka kichina anapita na upanga bila kutoa damu[emoji119] ile muvi watu wanapiga mkono. sipatii picha Gil tal mi vs Julsuik wa Great queen pia
 
Mwaka huu ana Movie inaitwa THE SWORDSMAN hatari zaidi ya hatari yenyewe, kinacho nifurahisha huko ndani hakuna maneno mengi ni vitasa tu.
Nimemmis Jung hyuk, ana drama Gani mpya wadau? Yule hata akisimama series nzima ntaangalia maana[emoji1] nina mkwamo

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa na njaa natafuta zile za kuku,watu wanaagiza kuku balaa bila kusahau miguu yake mara paap wakienda hosp lazima watoke na vimelea vya kansa daah. Hivi wakorea hawanaga ugonjwa mwingine zaidi ya kansa?

Nina wasi wasi na kuku wanaoagiza,wale ni wa kizungu tena wafugaji watakua wanawafuga fasta fasta kwa madawa,maana walaji wa huko wapo wengi mno.

Huwa naangalia mifupa wanayobakiza baada ya kung'ata nyama huwa mieusi mieusi hivi badala ya weupe
vipi una njaa? nilimpenda sana woo jo(sijui nimepatia jina lake) humo ndani, ukienda mgahawani anakupa chakula bure baadae anakuuliza umeshiba? dah yule binti ana roho nyeupee kama gypsum
 
Song Seung Hun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…