Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

jumong mwisho bhana hua nina series kibao za kikorea ka 19 hv HDD ikijaaa nazifuta nying ila jumong siifuti pia Queen of sedeouk nayo ni sheeedah
unajua ktk series moja ya kikorea unapata kila kitu haswa zile za zamani
mapenzi, siasa, dhulma, uchawi , figisu figusu, sience ya kila kitu
 
Mkuu naitafuta sana Jumong, naambiwa nzuri ila sijawahi kuiangalia.., naweza kuipata mkuu toka kwako??
 
Kama unataka historical nakushauri uiangalie binafsi niliipenda naamini nawe utaifurahia. Hapo utakutana na Kim Soo-hyun alikuwa ndio anachipukia, Kim Yoo- Jung na wakali wengine. Go for it
 
Kama unataka historical nakushauri uiangalie binafsi niliipenda naamini nawe utaifurahia. Hapo utakutana na Kim Soo-hyun alikuwa ndio anachipukia, Kim Yoo- Jung na wakali wengine. Go for it
Asante..........za namna hii ndio nazipenda. Ngoja niicheki hii.
 
Wee hicho kitu acha kabisa utakuja kunisimulia.
 
bila ya kumsahau mwanadada han ga in. nilimpenda sana kwenye terms of endearment akiwa pamoja na ji sung na song il kook
Daah mlimpenda huyu dada. Anaonekana hata kwenye real life mpole sana. Mtazamo wangu lakini[emoji85] [emoji85]
 
Umeimaliza yote mara hii We noma.. inaonekana huu ndo ulevi wako
hahahaaah mkuu krismasi nimekesha nayo. Nimelala saa 9 usiku wa boxing day, baada ya kurehjea saa 2 usiku nikaiangalia kuja kushtuka saa 9. Jana kwa kuwa nimeshinda home nikaimalizia,,,,,,,,,ni kali sana.....!
 
Nasaka tamthilia nyingine ya kikorea aliyopo Sosunho yule katika Jumong,,,,,,,,maana nimeona nyingi lakini sikutani naye.
 
hahahaaah mkuu krismasi nimekesha nayo. Nimelala saa 9 usiku wa boxing day, baada ya kurehjea saa 2 usiku nikaiangalia kuja kushtuka saa 9. Jana kwa kuwa nimeshinda home nikaimalizia,,,,,,,,,ni kali sana.....!
Umetisha
 
Asante mkuu kwa hii taarifa. Nitaitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…