napata mashaka sana na upacha wao kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu sasa kajikuta kamuweka pacha wake pasipotakiwa bila kujua.
napata mashaka sana na upacha wao kwa kweli
Hata mm unanitia wasiwasi upendo wao........ yaaaan kamerithi dharau ya baba yake.Tayari nimeshaanza ila nilipofikia wale mapacha ukaribu wao sio wa kawaida hope hawatapitiliza looh upendo gani ule,ka kike kana dharau kupitiliza
Mmmh speed yako ni ya 4g,umenipita hadi mi nilioanza kuiangaliaMbele utafaidi maana yajayo yanafurahisha pacha anapata crush bila mwenzie kutarajia
Mmmh speed yako ni ya 4g,umenipita hadi mi nilioanza kuiangalia
Naona hapa..dada haamini anachokiona. maisha hayatabiriki[emoji56][emoji56]Mbele utafaidi maana yajayo yanafurahisha pacha anapata crush bila mwenzie kutarajia
Naona hapa..dada haamini anachokiona. maisha hayatabiriki[emoji56][emoji56]
😂😂😂😂🙌 Daaaah umetisha.😂😂😂😂nzuri mno nimeiweka kwenye laptop na simu nilipo ipo
Wazee wa hizi mambo tafadhal naombeni Link ya kupakua hii series inaitwa mask View attachment 1680760
Hii sijaijua bado
BTW Sio mbaya kuna mitandao mingine hizo hudumawalishatoaHalotel bundle la usiku wamepunguza tena from bila Kikomo to GB 5
King in LoveHii sijaijua bado
Wazee wa hizi mambo tafadhal naombeni Link ya kupakua hii series inaitwa mask View attachment 1680760
King in love kama sijakosea
Asante mkuu.King in love kama sijakosea
Wamezingua sana yani..ndo imeishaje sasa vilePenthouse story aaah naona mivurugo tupu kisa wanataka season two wangeishia season moja tu
Wamezingua sana yani..ndo imeishaje sasa vile